Vet.mosson Lekumock Irmakesen

Vet.mosson Lekumock Irmakesen Veterinary services

11/10/2024

VITU MUHIMU KATIKA CHAKULA CHA KUKU..!!

Kuna vitu vitano muhimu vinavyotaijika kwa kuku ili awe na afya bora. Navyo ni k**a vifuatavyo,
1. Protini.
2. Mafuta.
3. Wanga.
4. Madini.
5. Vitamini.

1. PROTINI

Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni k**a ifuatavyo, Mtama, Dagaa, Alizeti na Soya. Hivi vyote inategemeana na maeneo uliko, nini kinapatikana kwa urahisi.

2. WANGA.

Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake ni kuupa mwili nguvu. Navyo ni k**a ifuatavyo; mahindi yaliyo balazwa, pumba ya mahindi na pumba ya mpunga.

3. MAFUTA.

Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kuupa mwili joto pamoja na kulainisha mmeng'enyo wa chakula mwilini. Kundi hili kuna vitu vifuatavyo; mashudu ya alizeti na mashudu ya pamba.

4. MADINI

Hapa kuna madini ya aina mbalimbali ambayo kazi yake kubwa ni kuimarisha mifupa na ganda la juu la yai pia. Na haya madini ni muhimu sana, kwa sababu yanakazi kubwa katika mwili wa kuku. Yanamwezesha kuku kutembea vizuri na kwa ukak**avu.

Pia yai la kuku ili liwe imara lenye ganda gumu lazima apate madini ya kutosha. Bila kusahau madini yanasaidia kuku kutonyonyoka manyoya yake. Madini hayo ni k**a ifuatavyo, mifupa, Chokaa ya kuku, D.C.P hizuia kudonoana, kula mayai, maganda malaini. Pia uimarisha maganda ya mayai, husaidia kuongeza mayai.

5. VITAMINI.

Ni aina ya vyakula ambavyo vinapatikana sana kwenye mbogamboga, lakini kazi yake kubwa ni kuimarisha mwili uwe vizuri k**a vile kuona, kuwa na manyoya imara na afya bora. Kundi hili linavyakula k**a vifuatavyo, mchicha, chainizi, spinachi na majani ya mpapai.

KUMBUKA:
Pia katika maduka ya mifugo kuna vitamini zinauzwa ambazo hutumika pia k**a mbadala wa mazingira yetu yalivyo kuna baadhi ya maeneo kupata mbogamboga ni changamoto. Kuna "introvit" ni nzuri kwa kuku na hata nyingine pia.

04/10/2024

Goats production intems of breeding ⤵️

04/10/2024

Goats production⤵️

Hellow do you know about Hernia?
04/10/2024

Hellow do you know about Hernia?

04/10/2024

Let us get some knowledge here how do goats graze.

The whole world is feeling joy and blessed with animals let us continue caring them with full of love
04/10/2024

The whole world is feeling joy and blessed with animals let us continue caring them with full of love

Let us know that quality eats or feeds make our pets as well as livestock healthy
29/09/2024

Let us know that quality eats or feeds make our pets as well as livestock healthy




Let our livestock keepers know the brief about Rabies.🐕🦮
29/09/2024

Let our livestock keepers know the brief about Rabies.🐕🦮

Hey look here This is how simple egg can be determined.
29/09/2024

Hey look here This is how simple egg can be determined.

Our page is after educating livestock keepers so as to uplift their production as well as their life standard.
29/09/2024

Our page is after educating livestock keepers so as to uplift their production as well as their life standard.


🚨Hellow livestock keepers am back again✅
29/09/2024

🚨Hellow livestock keepers am back again✅

Worm treatment programs for  CatsTAKE  NOTE
02/10/2023

Worm treatment programs for Cats
TAKE NOTE

High caring of our animals is passion
02/10/2023

High caring of our animals is passion

Always animal are our family
02/10/2023

Always animal are our family

Today
01/10/2023

Today

06/07/2023

MIFUMO YA KUFUGA SAMAKI

1. UFUGAJI HURIA (EXTENSIVE CULTURE SYSTEM)
a) Huu ni mfumo ambao samaki hupandikizwa kwenye bwawa na kuhudumiwa kwa kiwango kidogo duni.
b) Samaki hula vyakula vya asili vinavyo patikana kwenye bwawa.
c) Samaki hupandikizwa wachache mfano mita 1 ya mraba inapandwa idadi ya samaki chini ya 3 na hivyo mavuno huwa kidogo.
d) Mfumo huu maranyingi hutumika kwa matumizi ya nyumbani tu k**a mboga.
e) Usimamizi wa aina ya bwawa hili huwa hafifu

2. UFUGAJI NUSU SHADIDI (SEMIINTENSIVE CULTURE SYSTEM)
a) Katika mfumo huu samaki hupandikizwa kwenye bwawa na kuhudumiwa kwa kiwango cha kati.
b) Samaki hutegemea chakula cha asili na pia chakula cha ziada huongezwa katika bwawa. Mfumo huu ni mzuri na unataumiwa na nchi nyingi za Afrika.
c) Mita moja ya mraba tunapanda kati ya samaki 5-10

3. MFUMO SHADIDI (INTENSIVE CULTURE SYSTEM).
a) Huu ni mfumo unao tumia technolojia na utaalam wa kisasa kwani idadi ya samaki wanao pandwa katika eneo husika ni kubwa
b) Samaki hutegemea chakula cha kusindika (Artificial feeds)
c) Ufugaji huu unafaida na unahitaji mtaji mkubwa pia teknolojia ya hali ya juu sana,ikiwa sambamba na miundombinu ya uhakika.

UKIITAJI KITABU CHA UFUGAJI WA SAMAKI WASILIANA NASI 068904889 AU WHATSAPP NO +255 743 512 580

HARDCOPY SH 10,000
SOFTCOPY SH 5,000 UNATUMIWA KWA EMAIL AU WHATSAPP

15/12/2022

Address

Ngorongoro District
Arusha

Telephone

+255784313107

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vet.mosson Lekumock Irmakesen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vet.mosson Lekumock Irmakesen:

Share


Other Arusha pet stores & pet services

Show All