JOACK Animal Clinic

JOACK Animal Clinic JOACK Animal Clinic ni kituo kichotoa huduma ya matibabu na chanjo kwa wanyama mbalimbali.

VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA Call/Text/WhatsApp: +255 714 ...
10/09/2024

VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazo - DSM na Kiromo - Bagamoyo

Karibu JOACK ANIMAL CLINIC, hii ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata mahitaji muhumu kwaajili ya mbwa au paka wako.

Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zenye kuleta matokeo ya afya bora kwa mbwa wako.

Lakini wapo wa taalamu maalumu kabisa kwaajili ya kukushauri nini kinafaa kwaajili ya mbwa wako.

Baadhi ya vitu unavyoweza kupata JOACK ANIMAL CLINIC
1. Vyakula vya mbwa na paka
2. Virutubisho
3. Tiba lishe kwaajili ya mbwa na paka
4. Shampoo
5. Chanjo na madawa mbalimbali
6. Vifaa vya mbwa
7. Mabanda ya mbwa n
8. Keji za kusafirishia mbwa
9. Sumu za kuuwa wadudu k**a kupe, nk

Hiyo ni orodha ya baadhi ya vitu tu, ila k**a una changamoto yoyote au unahitaji ushuri usiache kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu ili kuhakikisha kila kitu kinakua sawa.

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

      🇹🇿  

JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO

TUNATOA HUDUMA YA MATIBABU NA CHANJO KWA WANYAMA AINA ZOTE | MBWA, PAKA, NKJOACK MOBILE ANIMAL HOSPITAL | HOSIPITALI YA ...
10/09/2024

TUNATOA HUDUMA YA MATIBABU NA CHANJO KWA WANYAMA AINA ZOTE | MBWA, PAKA, NK

JOACK MOBILE ANIMAL HOSPITAL | HOSIPITALI YA WANYAMA

Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

JOACK ANIMAL HOSPITAL ina madaktari (Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama aina zote

Tunatoa huduma ya tiba na chanjo kwa mifugo | we provide quality and affordable veterinary service

Tuna huduma mbali mbali za mifugo k**a:
a) Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako
c) Matibabu ya magonjwa kwa wanyama
d) Tunafanya operation kubwa na ndogo
e) Na huduma nyingine zinazo fanana na hizo

Huduma zetu ni bora, wengi ni mashaidi, na tutaendelea kutoa huduma bora siku zote maana furaha yetu nikuona wanyama wana afya bora.

Ushauri: Ni vema kuwachanja (vaccination) wanyama wako na kuwafanyia matibabu stahiki maana kwa kufanya hivyo unalinda afya ya mnyama wako na afya yako, ya familia na jamii kwa ujumla.

Hii ni kwasababu binadamu anaweza kupata maambuki ya vimelea vya magonjwa kutoka kwa mnyama lakini binadamu pia anaweza kuleta maambukizi kwa mnyama pia kitaalamu haya magonjwa yanaitwa zoonotic diseases.

Mfano wa magonjwa hayo ni k**a:
a) Rabies (Kichaa cha mbwa) - Virus
b) Helminthosis (Baadhi ya minyoo)
c) Leptospirosis - Bacteria
d) Tuberculosis (TB) - Bacteria

Na mengine mengi

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

🇹🇿

AVIAN MEDICINE | MATIBABU YA NDEGE WA AINA ZOTE JOACK ANIMAL CLINIC | JOACK PET CLINIC Call/Text/WhatsApp: +255 677 092 ...
06/09/2024

AVIAN MEDICINE | MATIBABU YA NDEGE WA AINA ZOTE JOACK ANIMAL CLINIC | JOACK PET CLINIC

Call/Text/WhatsApp: +255 677 092 128

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

K**a ilivyo kwa binadamu, ndege nao wanahitaji huduma ya kidaktari k**a wanyama wengine.

Hivyohivyo kwenye utaratibu wa chanjo, ndege nao wanautaratibu maalum kwajili ya chanjo ili waweze kujikinga na magonjwa.

Unapokuwa na ndege k**a sehemu ya mifugo, basi Hakikisha unafata taratibu sahihi za matibabu na chanjo.

Ndege hufugwa kwa sababu mbalimbali, inawezekana kufugwa k**a sehemu ya kujipatia kipato au k**a sehemu ya pambo.

Ndege k**a KASUKU, NJIWA, SILKIE BANTAM, TAUSI, MBUNI, LOVE BIRDS, nk, hawa ndege hufugwa k**a sehemu ya pambo. (ORNAMENTAL BIRDS - PET BIRDS)

Ndege k**a kuku, kanga, bata, nk, ndege hawa hufugwa k**a chanzo cha nyama na mayai, zaidi kwajili ya kujipatia kipato. (DOMESTIC BIRDS - LIVESTOCK)

Ndege hawa wote wanahitaji huduma ya karibu ya daktari, ili kuhakikisha wanakuwa na afya muda wote.

JOACK Animal Clinic ndio sehemu pekee inayoweze kukuhakikishia usalama wa ndege wako, katika swala zima la afya.

JOACK tunatoa huduma za matibabu na chanjo kwa ndege aina zote.

Office zetu zipo Tegeta, -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 677 092 128 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

    🇹🇿  

JOACK Company LTD | DSM BAGAMOYO

TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MBWA MAFUNZO YA AINA ZOTE | WE ARE PROVIDING QUALITY TRAINING FOR DOGSCall/Text/WhatsApp: +...
06/09/2024

TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MBWA MAFUNZO YA AINA ZOTE | WE ARE PROVIDING QUALITY TRAINING FOR DOGS

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

Tunatoa mafunzo ya aina zote kwa mbwa, kinatakiwa ni mteja kusema anaitaji mbwa wake apewe mafunzo ya aina GANI au anataka mbwa wake awe na tabia zipi

Mfano ya mafunzo tunayotoa kwa mbwa ni:-
1. Kumfundisha mbwa utii
2. Kumfundisha mbwa ukali na mbinu zote za ulinzi.
3. Kumfundisha mbwa kutoa kuwa muharibifu wa kula vitu k**a viatu, masofa, nk na tabia ya kuchimba na kuharibu maua.
4. Tunafundisha mbwa tabia ya kunusa vitu na kutambua (snifing).
5. Kumfundisha mbwa wanao pigana mara kwa mara kuto pigana.
6. Mafunzo ya kutokujisaidia ovyo, ndani au nje ya nyumba.
7. Mafunzo ya kumtoa mbwa uoga k**a anashindwa ata kubweka.
8. Mafunzo ya kumtoa mbwa ukali ulio pitiliza.
9. Mafunzo ya mahusiano kati ya mbwa na mbwa pia kati ya mbwa na binadam.

Hayo ni machache ila tunafundisha mafunzo ya aina zote za mbwa, kwa ubora wa hali ya juu na kuhakikisha mbwa wako anaiva vizuri ni wewe tu mteja kusema unataka mbwa wako aweje.

WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

🇹🇿

JOACK TRAINING ACADEMY | WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC | HOSIPITALI YA WANYAMA Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75Kuhusu JOACK Animal Clinic follo...
06/09/2024

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC | HOSIPITALI YA WANYAMA

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Kuhusu JOACK Animal Clinic follow

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Masaa ya kazi kwajili ya matibabu ya mifugo ni 24Hrs (24/7).

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC ni hospitali ya wanyama yenye kutoa huduma za matibabu na chanjo kwa wanyama aina zote.

Huduma yetu inakufikia popote ulipo, unachotakiwa kufanya ni kupiga simu haraka pale tu unapopata changamoto kwa mnyama wako.

Tunatoa huduma ya kutembelea wanyama majumbani kwajili ya chanjo na matibabu.

Pia tunatoa huduma ya ukaguzi wa wanyama (Clinical Examination) bure k**a mnyama ataletwa ofisini kwetu.

Madaktari wa mifugo kutoka JOACK Animal Clinic ni kati ya Wataalamu wenye uzoefu wa kutosha na huduma zao ni za uwakika.

Karibu sana JOACK Animal Clinic, hapa ndio sehemu pekee unaweza kupata huduma bora ya kitabibu kwa wanyama wako.

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

  🇹🇿  

JOACK Animal Clinic - DSM BAGAMOYO

TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA  WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES  RETAIL AND WHOLE SALE.Call/Text/Wha...
06/09/2024

TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES RETAIL AND WHOLE SALE.

Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Bei za jumla za dog collar (10pc min)

Small Dog collar.….............. 3,000Tsh
Medium Dog collar…........... 3,500Tsh
Big Small Dog collar............4,000Tsh
Extra large Dog collar..........6,000Tsh

Tuna aina nyingine nyingi za vifaa kwajili ya mbwa na paka, baadhi ya vifaa vyetu ni:
1. Dog Collar different size
2. Dog ball - different type
3. Dog chain - different size and types
4. Dog leashes - different types
5. Dog harness - different types and size
6. Dog bowl - different types and size
7. Chock chain - different size and types
8. Grooming gloves
9. Retractable leashes - different types and size

Hapo juu tumetaja vifaa vichache tu, lakini tuna vifaa vingine vingi zaidi ya hivyo vilivyo tajwa hapo juu. Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.

JOACK PET STORE | JOACK ANIMAL CLINIC

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

🇹🇿

Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO

TUNAUZA MAZIWA YA UNGA KWAJILI YA MBWA NA PAKA WADOGO YA VITAMIN NA MADINI YA KUTOSHA. Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 6...
06/09/2024

TUNAUZA MAZIWA YA UNGA KWAJILI YA MBWA NA PAKA WADOGO YA VITAMIN NA MADINI YA KUTOSHA.

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

Milko - Pup ni maziwa ya unga ambayo yametengenezwa maalumu kwajili ya mbwa, paka na wanyama wengine.

Maziwa haya yanatengenezwa na viwanda vikubwa duniani vinavyo tengeneza maziwa ya unga maalumu kwajili ya wanyama.

Mbwa anapozaliwa anatakiwa kunyonya maziwa ya mama yake kwa wiki ya kwanza, na baada ya week mpe haya maziwa kuboresha afya.

Maziwa ya wiki ya kwanza yanaitwa Colostrum, haya maziwa yana protein maalumu (Immunoglobulin G) ambayo inasaidia kujenga kinga ya ndama dhidi ya magonjwa. Baada ya wiki 1 ndio tunaruhusu matumizi ya Milko - Pup.

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

JOACK COMPANY LTD DSM & BAGAMOYO

TUNAUZA CHAKULA BORA CHA SUNGURA AINA YA PELLET | WE ARE SELLING QUALITY RABBITS PELLETSBei za chakula Cha Sungura | Rab...
31/08/2024

TUNAUZA CHAKULA BORA CHA SUNGURA AINA YA PELLET | WE ARE SELLING QUALITY RABBITS PELLETS

Bei za chakula Cha Sungura | Rabbit Pellets
Grower | Kwa sungura wanao kua
1. 5Kg = 7,000Tsh
2. 25Kg = 30,000Tsh
4. 50Kg = 58,000Tsh

Lactating | Kwa sungura wanao nyonyesha
1. 5Kg = 7,500Tsh
2. 25Kg = 32,000Tsh
4. 50Kg = 64,000Tsh

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

JOACK Rabbit Pellets ni aina ya chakula cha sungura ambacho kipo katika umbo k**a la tambi fupifupi.

Chakula hiki ni mchanganyo wa virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu sana kwa sungura.

Umuhimu wa JOACK Rabbit Pellet
1. Chakula kina virutubisho vyote 7 hivyo sungura hupata mlo kamili.

2. Chakula hiki kina nenepesha sana sungura ndani ya muda mfupi.

3. JOACK Rabbit Pellet inaongeza uwezo wa sungura kuzaliana, yaani sungura jike kutengeneza mayai ya kutosha akiwa na afya na dume kutengeneza mbegu za kutosha.

4. Chakula kinaradha hivyo uongeza uwezo wa sungura kula zaidi, kwa zaidi ya asilimia 10% ya uwezo wa kawaida.

5. Pellet moja inakuwa na virutubisho vyote hivyo sungura akila anakuwa amevipata vyote kwa wakati mmoja, tofauti na chakula cha unga anaweza kukosa baadhi ya vitu.

Tunashauri kutumia JOACK Rabbit Pellet sambamba na majani mazuri kwajili ya sungura.

JOACK Rabbit Pellet inapatikana JOACK COMPANY LIMITED, na kwa wateja wa mikoani tunawamia kokote mlipo pale tu mnapo hitaji bidhaa hii.

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

🇹🇿

TUNAUZA SUNGURA WA KISASA WE ARE SELLING HYBRID RABBITS - DSM + DODOMABEI NI :35,000TshWhatsApp/Call/Text: 0714 63 63 75...
31/08/2024

TUNAUZA SUNGURA WA KISASA WE ARE SELLING HYBRID RABBITS - DSM + DODOMA

BEI NI :35,000Tsh

WhatsApp/Call/Text: 0714 63 63 75

Sungura ni mnyama rahisi wa kufuga hana gharama kubwa

Sungura akitunzwa vyema inavyostahili haugui kwa urahisi na pia lishe yake ni rahisi kupatikana

Chakula cha sungura ni k**a nyasi, mamboga k**a vile sukuma wiki, spinarch, karoti, na pia unaweza kununua chakula halisi cha sungura kutoka maduka(pillet)

Wataalam wanashauri mfugaji akaushe chakula cha sungura ili asikojoe ovyo na pia kukinga magojwa ya tumbo.

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

🇹🇿

TUNAUZA SIMBILISI/PIMBI  WE SELL GUINEA PIGS - DAR ES SALAAM + MIKOANICall/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75   Muda wetu wa k...
31/08/2024

TUNAUZA SIMBILISI/PIMBI WE SELL GUINEA PIGS - DAR ES SALAAM + MIKOANI

Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Simbilisi ni Mnyama mdogo k**a panya buku ambae huwa anafugwa na binadamu lakini asili yake ni porini.

Simbilisi anasura k**a Sungura au panya buku lakini utofauti wake yeye na Sungura au panya buku yeye hana mkia.

Simbilisi anakuwa mkubwa baada na kupevuka vizuri akiwa na umri wa miezi 3 hadi 5

Simbilisi anabeba mimba kwa muda wa siku 72 was na kuzaa, na anapozaa huweza kubeba mimba nyingine papo hapo.

Simbilisi anaweza kuzaa watoto kuanzia wawili hadi watano kwa mara moja.

Mbali na kuzaa watoto wengi mara nyingi, pia ana tabia ya kupenda kujamiiana sana.

Simbilisi anaweza kujamiiana zaidi ya mara 10 kwa siku, ingawa hufanya hivyo akiwa amejificha sana.

Simbilisi pia, licha ya kuwa na kimo kidogo k**a panya buku, ana uwezo wa kumpiga sungura na ujanja wake akakimbia.

Sungura na simbilisi wanaweza kuishi banda moja Wanaishi banda moja lakini tahadhari ni kwamba simbilisi ni mkorofi.

Simbilisi hupenda kukaa kwenye mashimo na anapenda hali ya joto ndiyo maana mara nyingi huwa amejikunyata.

Somo linalofata tutaeleza faida za Kwa wanaojua faida za simbilisi karibuni napenda kuona comments zenu

Office zetu zipo Tegeta, -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

TUNAUZA FEEDER ZA BATI KWAJILI YA KUKU ( VYOMBO VYA KUWEKEA CHAKULA KUKU, VYA BATI)Bei ni 3,500/= Tu.Call/Text/WhatsApp:...
27/08/2024

TUNAUZA FEEDER ZA BATI KWAJILI YA KUKU ( VYOMBO VYA KUWEKEA CHAKULA KUKU, VYA BATI)

Bei ni 3,500/= Tu.

Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

TUNAUZA VIFAA VYA UFUGAJI KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA

Hizi ni bei zetu za vyombo kuanzia pc 10

1. Small Chicken feeder Vyombo vidogo vya chakula 3,999Tsh
2. Large Chicken feeder Vyombo vikubwa vya chakula 6,999Tsh
3. Small Drinker Vyombo vidogo vya maji 3,999Tsh
5. Large Chicken Drinker Vyombo vikubwa vya maji 7,500Tsh
6. Long Chicken feeder Vyombo vidogo vya chakula kwa vifaranga 2,500Tsh
7. Plate Chicken feeder Sahani za kuwekea chakula kwajili ya vifaranga 3,500Tsh
8. New Small Chicken Drinker Kibuyu kidogo 4,500Tsh
9. New Big Chicken Drinker Kibuyu Kikubwa 6,999Tsh

Hizi ni bei zetu za vyombo kuanzia pc 0-9

1. Small Chicken feeder Vyombo vidogo vya chakula 4,500Tsh
2. Large Chicken feeder Vyombo vikubwa vya chakula 7,500Tsh
3. Small Chicken Drinker Vyombo vidogo vya maji 4,500Tsh
5. Large Chicken Drinker Vyombo vikubwa vya maji 8,000Tsh
6. Long Chicken feeder Vyombo vidogo vya chakula kwa vifaranga 3,500Tsh
7. Plate Chicken feeder Sahani za kuwekea chakula kwajili ya vifaranga 4,500Tsh
8. New Small Chicken Drinker Kibuyu kidogo 5,500Tsh
9. New Big Chicken Drinker Kibuyu Kikubwa 7,500Tsh

Office zetu zipo Tegeta, -Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

AUTOMATIC SYRINGE 50mls | TUNAUZA BOMBA SINDANO KWA BEI NAFUU.Bei ni 75,000TshCall/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75     ...
21/08/2024

AUTOMATIC SYRINGE 50mls | TUNAUZA BOMBA SINDANO KWA BEI NAFUU.

Bei ni 75,000Tsh

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Automatic Syringe 50mls hili ni bomba la sindano lenye ujazo wa mls 50 ambalo linatumika na wataalamu wa mifugo kipind cha matibabu.

Bomba hili ni imara sana, maana limeundwa material ya chuma, Lakini pia tunakupa na glass ya ziada k**a spea.

Bomba hili ni Automatic, hivyo unaweza kuseti kiasi cha dawa unaochohitaji kumchoma mnyama na una uwezo wa kuchoma wanyama wengi kwa wakati mmoja bila kurudia rudia kuvuta dawa.

Bidhaa hii unapatikana kwa bei nafuu sana, na kwa wateja wa mikoani huwa tunawatumia bidhaa kokote walipo.

Mbali na hii bidhaa JOACK Company tunauza madawa na vifaa mbalimbali vinavyotumika kwenye ufugaji.

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha , opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

🇹🇿

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC | HOSIPITALI YA WANYAMA | CHANJO NA MATIBABU Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75Follow Us J...
21/08/2024

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC | HOSIPITALI YA WANYAMA | CHANJO NA MATIBABU

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Follow Us JOACK Animal Clinic

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Masaa ya kazi kwajili ya matibabu ya mifugo ni 24Hrs (24/7).

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC ni hospitali ya wanyama yenye kutoa huduma za matibabu na chanjo kwa wanyama aina zote.

Huduma yetu inakufikia popote ulipo, unachotakiwa kufanya ni kupiga simu haraka pale tu unapopata changamoto kwa mnyama wako.

Tunatoa huduma ya kutembelea wanyama majumbani kwajili ya chanjo na matibabu.

Pia tunatoa huduma ya ukaguzi wa wanyama (Clinical Examination) bure k**a mnyama ataletwa ofisini kwetu.

Madaktari wa mifugo kutoka JOACK Animal Clinic ni kati ya Wataalamu wenye uzoefu wa kutosha na huduma zao ni za uwakika.

Karibu sana JOACK Animal Clinic, hapa ndio sehemu pekee unaweza kupata huduma bora ya kitabibu kwa wanyama wako.

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

  🇹🇿  

JOACK Animal Clinic - DSM BAGAMOYO

TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZICall/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75        Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa...
21/08/2024

TUNAUZA MBWA WA KISASA WA ULINZI

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Mara nyingi mbwa hufugwa kwa msingi wa malengo nne ambayo ni:-

1. Kunusa (Detection dogs or Sniffer dogs)
2. Kulinda/usalama (Guard dogs)
3. Kuongoza (Guide dogs)
4. Mbwa kipenzi (pets)

Kwa kazi ya ulinzi, mbwa ni kati ya walinzi wazuri na waaminifu, ni mlinzi asiyepokea rushwa wala kula dili na wezi, akiamua kukulinda basi ataulinda kweli.

Mbwa ni kati ya wanyama wenye tabia tofauti tofauti kulingana na asili yao, hivyo ni muhimu kupata taarifa sahihi za mbwa husika ili uweze kujua namna ya kumtunza.

Licha ya kufahamu tu tabia za mbwa, ni muhimu pia kujua taratibu za chanjo na matibabu za mbwa, lengo ni kuhakikisha mbwa wako anakuwa salama dhidi ya magonjwa na hatari nyingine.

Pia kuna swala la mafunzo, mbwa ni kati ya wanyama wenye uelewa hivyo anaweza kufundishika..

Unaweza mfundisha mbwa wako tabia unazo zitaka, mfano unaweza mafundisha ukali, utii, kunusa, sehemu za kujisaidia, nk

Ukiamua kufuga mbwa kwa lengo lolote ni muhimu kuwasiliana na wataalamu ili uweze kupata ushauri sahihi.

Hayo ni machache tu kuhusu mbwa, lakini k**a unahitaji mbwa kwa lengo lolote karibu sana JOACK.

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

🇹🇿

JOACK Company LTD

VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA Call/Text/WhatsApp: +255 677 ...
15/08/2024

VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA

Call/Text/WhatsApp: +255 677 092 128

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazo - DSM na Kiromo - Bagamoyo

Karibu JOACK ANIMAL CLINIC, hii ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata mahitaji muhumu kwaajili ya mbwa au paka wako.

Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zenye kuleta matokeo ya afya bora kwa mbwa wako.

Lakini wapo wa taalamu maalumu kabisa kwaajili ya kukushauri nini kinafaa kwaajili ya mbwa wako.

Baadhi ya vitu unavyoweza kupata JOACK ANIMAL CLINIC
1. Vyakula vya mbwa na paka
2. Virutubisho
3. Tiba lishe kwaajili ya mbwa na paka
4. Shampoo
5. Chanjo na madawa mbalimbali
6. Vifaa vya mbwa
7. Mabanda ya mbwa n
8. Keji za kusafirishia mbwa
9. Sumu za kuuwa wadudu k**a kupe, nk

Hiyo ni orodha ya baadhi ya vitu tu, ila k**a una changamoto yoyote au unahitaji ushuri usiache kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu ili kuhakikisha kila kitu kinakua sawa.

Office zetu zipo - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 677 092 128 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

      🇹🇿  

JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO

JOACK ANIMAL BOARDING | HUDUMA YA KUTUNZA WANYAMA WAKATI MUHUSIKA HAYUPO.Call/Text/WhatsApp: +255 677 092 128      Muda ...
15/08/2024

JOACK ANIMAL BOARDING | HUDUMA YA KUTUNZA WANYAMA WAKATI MUHUSIKA HAYUPO.

Call/Text/WhatsApp: +255 677 092 128

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

JOACK Animal Clinic inatoa huduma ya kutunza/kulea wanyama mbalimbali (pet animals) pindi mmiliki hayupo.

Inawezekana umepata safari au dharula lakini hauna mazingira salama ya kumuacha mnyama wako, tunashauri uwasiliane nasi ili utukabidhi hiyo dhamana ya kuhakikisha usalama wa mnyama wako.

Ni muhimu sana kuhakikisha unamuacha mnyama wako sehemu iliyo salama, JOACK Animal Clinic tunauwezo mkubwa wa kuhakikisha usalama na afaya ya mnyama wakati wote.

Utaratibu wa ofisini, Kabala mteja hajakabidhi mnyama, tunahikikisha mnyama ana chanjo zote na k**a hana chanjo, mnyama atapata chanjo zote ndipo aendelee na huduma nyingine.

Karibu sana JOACK Animal Clinic, hii ndio sehemu pekee inayo kuhakikishia usalama wa mnyama wako wakati wote.

Office zetu zipo -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 677 092 128 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
[email protected]

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: https://joackcompany.business.site/

🇹🇿

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

Address

Wazohill/Tegeta
Dar Es Salaam
67414

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JOACK Animal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JOACK Animal Clinic:

Videos

Share

Category

Other Veterinarians in Dar es Salaam

Show All