Dr.Kuku

Dr.Kuku Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.Kuku, Animal Rescue Service, Dodoma, .

Page hii ni maalum kwajili uzalishaji na Matibabu ya kuku au ndege kwa ujumla Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu au Tuma ujumbe kwa namba 0745049041 namba hii ni pamoja na WhatsApp.By Dr Agape Sizala.Mshauri wa ufugaji wa kuku.

🐣🐤🐥 mfumo bora wa kufugia kuku uitwao 'batery cage system' ni bora kwa kuku wa mayai , huzuia maambukizi ya vimelea vya ...
06/04/2023

🐣🐤🐥 mfumo bora wa kufugia kuku uitwao 'batery cage system' ni bora kwa kuku wa mayai , huzuia maambukizi ya vimelea vya magonjwa kwa asilimia 90 na hurahisisha uzalishaji hata kwenye eneo dogo zaidi kuliko mifumo mingene ya mabanda 👍

01/03/2022

Wafugaji wa kuku na ndege wengine nivyema kuzingatia usafi wa mabanda , chakula na kutoa chanjo kwa wakati k**a inavyoshauriwa na wataalamu ili kuzuia magonjwa.

Kumekuwa na changamoto ya vifaranga wengi wanaototolewa kuwa dhaifu , kufa ndani ya mayai na wengine hufa baada ya kutot...
27/01/2022

Kumekuwa na changamoto ya vifaranga wengi wanaototolewa kuwa dhaifu , kufa ndani ya mayai na wengine hufa baada ya kutotolewa . Hii inatokana na sababu nyingi ikiwemo ugonjwa wa typhoid unaowakumba kuku majike hivyo husambasa maambukizi kwenda kwa vifaranga kupitia mayai ya vifaranga hao. Ili kujifunza zaidi na ushauri nipo WhatsApp no: 0745049041.

27/01/2022

Kumekuwa na changamoto kubwa ya vifaranga kutotolewa dhaifu , kufa baada ya muda mfupi na mayai mengi kutokutotolewa kikamilifu. Hii ni matokeo ya ugonjwa wa typhoid ambao huambikiza kutoka kwa wazazi kwenda kwa vifaranga kupitia mayai. Kujua zaidi juu ya tatizo hili na ushauri waweza nitafuta Whatsapp no: 0745049041

Utambuzi wa vifaranga mitetea kushoto na majogoo kulia . Kwa maelezo zaidi kufahamu kuhusu hili unaweza kutuma ujumbe wa...
21/01/2022

Utambuzi wa vifaranga mitetea kushoto na majogoo kulia . Kwa maelezo zaidi kufahamu kuhusu hili unaweza kutuma ujumbe wa neno mifugo kwa namba ya whatsapp 0745049041.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Kuku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr.Kuku:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Pet Store/pet Service?

Share