Nguruwe na masoko

Nguruwe na masoko lengo kuu ni kuwaleta pamoja wafugaji na wateja ili kuondoa ulanguzi wa ,madalali
(5)

20/07/2022

Habari za jioni .... Kuna Mdau yupo Kyela- Mbeya anahitaji mbegu za nguruwe.

Mawasiliano: 0623-8974141

Mzigo unapatikana kulingana na mahitaji yako
13/07/2022

Mzigo unapatikana kulingana na mahitaji yako

27/12/2021

Kushauri na kutoa tiba kwa nguruwe.

Mastitis
27/12/2021

Mastitis

Brucellosis
27/12/2021

Brucellosis

Abortion and embryo loss
27/12/2021

Abortion and embryo loss

Anaemia
27/12/2021

Anaemia

Abscess
27/12/2021

Abscess

30/05/2021
26/05/2021

Bei za piglets katika shamba letu

piglets Duroc 50% +cambro 25% umri miezi 3 =300000

Duroc 50% +landrace 25% umri miezi 3 =300,000

Pure Duroc miezi 3 = 1,200,000

Duroc 75% miezi 3 = 500,000

Duroc 50% + largewhite 50% miezi 3 =400,000

Duroc 50% Pietrain 50% miezi 3 =500,000

Pure pietrain miezi 3=900,000

Duroc sadleback 50% = 400,000

Na mbegu nyingine nyingi

Nzuri, gharama nafuu, tija kubwa kwa kukuzia piglets wako haswa kwa kuzingatia piglets wanatakiwa kula adilib.
23/05/2021

Nzuri, gharama nafuu, tija kubwa kwa kukuzia piglets wako haswa kwa kuzingatia piglets wanatakiwa kula adilib.

15/05/2021

Sasa wanapatikana nguruwe hybrid (kisasa) unatumiwa popote ulipo nchini

Wakuu mnisamehe sikuwa hewani for a while sasa nimerejea Kwa Kasi ya JOBO
15/05/2021

Wakuu mnisamehe sikuwa hewani for a while sasa nimerejea Kwa Kasi ya JOBO

lengo kuu ni kuwaleta pamoja wafugaji na wateja ili kuondoa ulanguzi wa ,madalali

Address

Arusha
23101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguruwe na masoko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nguruwe na masoko:

Videos

Share

Category


Other Urban Farms in Arusha

Show All