Super gro kilimo bora

Super gro kilimo bora Kilimo cha kisasa kwa kutumia kirutubisho cha Super gro

28/06/2024
Kibali cha kuuza Supergro kwa wenye maduka ya pembejeo.Tone la maajabu kumsaidia mkulima apate faida zaidi na kupunguza ...
26/04/2024

Kibali cha kuuza Supergro kwa wenye maduka ya pembejeo.

Tone la maajabu kumsaidia mkulima apate faida zaidi na kupunguza gharama.

Mkulima wa sasa tumia Super gro.Mbolea ya kijanja ambayo kila mkulima anapaswa kutumia.Utanishukuru Baadae.Mawasiliano y...
19/08/2023

Mkulima wa sasa tumia Super gro.Mbolea ya kijanja ambayo kila mkulima anapaswa kutumia.

Utanishukuru Baadae.

Mawasiliano yetu ni 0786496992

19/08/2023

Mbolea ya Super gro haina kemikali.

-Itakupa mazao makubwa yenye uwiano sawa.
-Utavuna zaidi ya kawaida,mara 3 zaidi.

-Udongo wa shamba lako utazidi kuwa na rotuba daima,super gro inapenya hadi layer ya mizizi.

-Inasaidia kupunguza gharama za pembejeo.

Sikiliza mkulima akitoa shuhuda ya super gro

13/07/2023

Supergro fahari ya mkulima.
Tumia Kirutubisho hiki utanishukuru baadae.

Mawasiliano yetu +255786496992

24/05/2023

Wakulima.Unaweza kununua bidhaa ya Supergro moja kwa moja kiwanda ni kwa kutumia link hapo chini na ukasafirishiwa na kampuni k**a ukipenda au mimi mwenyewe.

https://shopneolife.com/happymariki

1. Unaweza nunua supergro na bidha zingine zozote.
2. Uchague location yako.
3. Chagua unavyotaka mzigo ukufikie.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami 0786496992

Wakulima wakiangalia maajabu ya supergro.Nzuri sana kwa ajili ya kilimo cha faida
10/05/2023

Wakulima wakiangalia maajabu ya supergro.

Nzuri sana kwa ajili ya kilimo cha faida

Ukitaka kulima kwa manufaa na kupunguza gharama za pembejeo tumia supergro.1kirutubisho cha idongo na mimea2. Utavuna ma...
22/03/2023

Ukitaka kulima kwa manufaa na kupunguza gharama za pembejeo tumia supergro.

1kirutubisho cha idongo na mimea
2. Utavuna mara 3 zaidi❗❗
3. Zao lako litakuwa na uwiano mzuri hadi utakuwa na ushindani sokoni.
4. Utapata zao lenye ladha nzuri sana.

5.Hisitoshe unaweza kuchanganya supergro na dawa za wadudu na kufanya wadudu wasiwepo k**a utitiri,vipepeo na wadudu wengine wasumbufu kukaa mbali na shamba lako.

Karibu namba ni 0753482330

23/02/2023

Supergro❗❗Kirutubisho kizuri sana kwa ajilibyako mkulima na mfugaji.

UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA NA SUPERGRO
1️⃣pima supergro yako na maji.Kipimo ni cc1 kwa lita 1.Kwahio k**a ng'ombe wako wanakunywa lita 60,hiyo ni cc20.

2️⃣Wape wanywe maji yaliyochanganywa na supergro.

📍k**a ni ng'ombe wa maziwa ,utawapa maji yenye supergro mara moja kwa wiki.

📍k**a sio wa maziwa,utawapa supergro mara 2 kwa wiki.
NUNUA SUPERGRO KWA UFUGAJI BORA NA WENYE MANUFAA.

✅INASAIDIA NG'OMBE KUWA NA AFYA.
✅KUZUIA MAGONJWA YA MARA KWA MARA
✅NG'OMBE WATOE MAZIWA MENGI.

PIGA 0753482330

20/02/2023

Tikiti linavutia,ukubwa ndio husiseme✅
Kazi ya supergro hiyo.Husikubali kulima kinyonge hata kidogo.

Nipigie nunua supergro huone shamba lako litakavyokupatia faida.

Wasiliana nasi 0753482330

20/02/2023

Kirutubisho cha Supergro na matikiti.Lazima ufurahi mavuno mwaka huu.

👌kwenye kiangazi inafanya kazi vizuri sana.Tena unavuna sana na zao linapata ukubwa na ladha tamu kabisa.Ebu cheki tikiti lilivyo jekundu🔥🔥

Wasiliana nasi 0753482330



09/02/2023

Jamani,k**a hujatumia supergro mpaka sasa, unapitwa na mengi.Hiki nib kirutubisho kilichotengenezwa na vitu asili kabisa,HAKUNA SUMU❗😃

Wakulima wanaifurahia sana sana,nzuri kwa kilimo na ufugaji.

Tutakuelekeza namna ya kutumia unapotaka kwa ajili ya ufugaji,wale wafuga samaki, nguruwe,kuku karibuni sana.

Wasiliana nasi +255753482330

06/01/2023

Jinsi ya kutumia supergro yako.
Kipimo chako ni 1cc kwa lita moja.

Inamaana ukinunua supergro yako ata ya 250ml, hiyo ni lita 250.Utaitumia mpaka unavuna kwenye bustani yako k**a sio kubwa sana.

Lita 5 ya supergro inatumika kwenye heka 15..

Inapunguza sana gharama za pembejeo, utavuna sana na zao lako litakuwa na ushindani sokoni.

SUPERGRO NI KIRUTUBISHO haina sumu yoyote ile, mazao yako yatakuwa salama kwa matumizi ya binadamu.Epuka mbolea zenye sumu.

Wasiliana na 0753482330 .

Mkulima popote ulipo tumia supergro kwa ajili ya kupandia na kukuzia zao lako.Inafanya kazi vizuri sana na kuusaidia udo...
06/01/2023

Mkulima popote ulipo tumia supergro kwa ajili ya kupandia na kukuzia zao lako.

Inafanya kazi vizuri sana na kuusaidia udongo na zao lako kuwa bora ,lenye ujazo na utavuna kwa wingi sana.

Unaweza changanya na dawa ya kuulia wadudu.

- zao lako likianza kutoa maua, pulizia supergro chini karibu na udongo na sio kwenye maua ya zao.Nawatakia kilimo chenye faida sana.

NAMNA YA KUTUMIA SUPERGRO KWENYE ZAO LA MAHINDI.1. LOWEKA MBEGU YAKO YA MAHINDI KWENYE MAJI YALIYOCHANGANYWA NA SUPER GR...
31/12/2022

NAMNA YA KUTUMIA SUPERGRO KWENYE ZAO LA MAHINDI.
1. LOWEKA MBEGU YAKO YA MAHINDI KWENYE MAJI YALIYOCHANGANYWA NA SUPER GRO.KIPIMO NI CC1 KWA LITA 1, UKINUNUA KUNA KIFUNIKO CHA KUPIMIA.MBEGU LOWEKA 24HRS
2. CHUKUA MBEGU YAKO KESHO YAKE IPANDE KWENYE SHQMBA LAKO VIZURI.
3. BAADA YA WIKI MOJA, WEKA MBOLEA YA SUPERGRO KWENYE MAZAO YAKO.K**A KIANGAZI WEKA KILA BAADA YA WIKI MOJA, K**A KUNA MVUA WEKA KILA BAADA YA WIKI 2.

4. UNAWEZA PIA CHANGANYA DAWA YA WADUDU NA SUPERGRO UKAPIGA KWENYE ZAO LAKO.

CHAGUA SUPERGRO DAIMA, UTAFURAHIA KILIMO CHAKO.

WASILIANA KWA NAMBA +255753482330

14/11/2022

Mkulima akielezea jinsi Super gro ilivyomsaidia kwenye zao la parachichi.

wasiliana andi 255753482330

Super gro ni kirutubisho cha mimea na udongo ambacho hutengenezwa kwa mizizi, magome na kinyesi cha ndege.‼️unatumia kwa...
14/11/2022

Super gro ni kirutubisho cha mimea na udongo ambacho hutengenezwa kwa mizizi, magome na kinyesi cha ndege.

‼️unatumia kwa kilimo cha zao lolote na miti ya mbao pia.Tumia kwa kupandia hadi kuzalishia, Super gro inaleta maajabu.

👉IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA
🍍Mazao hafifu.
🥑Udongo ulioishiwa rutuba
🌽Gharama kubwa za pembejeo
🍁Ufinyu wa mvua
🍇Mazao yasiyo na uzito wa kutosheleza

SUPER GRO NDIONSULUHISHO.
☘Inasaidia kuzuia fungus
☘Inafanya zao liwe na ubora zaidi.Majani yake yavutie
☘Inasaidia udongo kuwa na rutuba.
☘Inaleta nguvu mpya kwenye mazao ili kuwa na ukomavu.
☘Inaongeza uzalishaji wingi wa mazao.
☘Ufanya kazi vizuri na dawa za kuuwa wadudu.
☘Ina pambana na ukame.
☘Inaongeza uzito wa mazao mfano, kabichi,kahawa, vitunguu, viazi,korosho, karanga,njegere,kunde ma mengineyo.

‼️‼️Lita 1 TSH 52,000.
Ujazo wa lita 5 ,TSH 185,000.Matumizi heka 14‼️‼️‼️

✅Wasiliana nasi +255753482330

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Super gro kilimo bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Dar es Salaam pet stores & pet services

Show All