Jiandae kwa vifaranga karibuni tu insha Allah, moja kati ya rangi ninazozipenda.
#bootedbantam
With my little friends 😃
..
..
#polishchicken
#brahmachicken
Mature golden partridge quality pekin bantam.
Mali hiyo ...
..
..
#kukuwaurembo #kukuwabustani #ufugajikuku
Always smile with this of my parents' stock Polish chiicken, still lay eggs, and provide lots of baby.
Enjoy this beautiful day.❤️
Our deep connection is stronger than words
Hamburgs chicken
Enjoy on grass.
Hizi kuku ukiziona tu, unajua hapa ugomvi tu 😊
#kukukuchi
Hivi ndivyo ma twins wanavyongara
.
#kukumrembo
#ufugaji
#ufugajikuku
Sultan
Ni jina la kuku mrembo mwenye ushingi mkubwa na soksi ndefu.
#kukuwaurembo #kukuwabustani #ndegevipenzi #wanyamavipenzi #kuku #ufugajikuku
Ufugaji wa kuku wa urembo
Wengi huniuliza masuali hawa kuku wanakula nini?
Wanataga ?
Wanaliwa ?
Wanatumia Madawa ?
Ufugaji wake ukoje, lazima niwategnezee banda kama la kwako ?
Hawaumwi ?
Ikiwa wewe ni miongoni mwenye kujiuliza masuli hayo, majibu ni hayo hapo 👇
Usiumize kichwa hawana kitu kigumu au cha kipekee jinsi ya kuwatunza, naweza sema ni rahisi zaidi.
Jambo zuri wanapofikia hatua ya kutaga usiwachanganye ili uweze kuzitunza mbegu, Polish kwa Polish, serama kwa serama, brahma kwa brahma n.k
Vyakula
- Wanakula pumba, ukiichanganya na mashudu itakua bora zaidi.
- Wanakula mtama, mahindi, ngano na nafaka nyenginezo.
- Wanakula mboga mboga kama mchicha, chinese na mengineyo.
- Wali, ugali, muhogo, maandazi, chapati na nyenginezo.
- Wadudu wa ardhini, panzi, nyungunyungu na wengineo
Utagaji.
- Waweza andalia mazingira kwenye banda kwa kuwawekea viota, vibeseni kuvitia mchanga, dumu kuweka maranda na njia nyenginezo. Ukiokosa kuwawekea mayai utakuta chini.
- Mayai 10, 15, 20, 30 inategemea na ulishaji, na mbinu utakazotumia. Kuku ukimuondeshea mayai huweza kuataga mayai mengi zaidi.
Utamiaji.
- Kuku hawa hutamia siku 19, 20 mpaka 21.
- Idadi mayai ya kutamia hutegemea na ukubwa wa kuku mwenyewe, mayai 10 mpaka 15 ni wastan wa utamiaji wa jamii nyingi za kuku.
- Pia mayai yake yaweza kutamiwa na jamii nyengine za kuku au kuweka kwenye mashine.
Uleaji.
- Vifaranga huweza kulewa na kuku mwenyewe.
- Vifaranga huweza kulelewa na jamii nyengine za kuku.
- Vifaranga waweza kuvitenga na ukavilea kwa kuviwekea taa, chakula na maji, usafi muhimu.
Madawa.
- Unaweza kuwapa chanjo kufuatia maelekezo kutoka kwa madaktari au maduka dawa za mifugo.
- Binafsi sitaweza kukuelekeza kwa kua sina uzoefu kwenye upande wa madawa. Natibu tatizo linapotokea. Kwa asilimia kubwa kiumbe unapokitunza vizuri si rahisi kushambuliwa na magonjwa.
Wanaliwa.
- wanaliwa, ni wazuri kwa upishi wowote ule utakaobuni, kama ni kukausha, supu, rosti na mengineyo.
- Mayai pia waweza chemsha au
Beautful chickens, beautiful garden.
#kukumrembo