Mbena Farm

Mbena Farm Tunauza Vifaa vya Ufugaji na Kilimo
Incubators
Cages
Feeding Mixer Greinder
Pellet machine n.k

17/09/2024
Kwa maitaji ya drinker na  feder za kulishia na kunyweshea kwetu Zina patikana na zipo za kutosha bei  ni rafiki Kwa waf...
02/09/2024

Kwa maitaji ya drinker na feder za kulishia na kunyweshea kwetu Zina patikana na zipo za kutosha bei ni rafiki Kwa wafugaji weka order yako Sasa na uweze kupatiwa Sasa karibu sana
tupo Dar es Salam

herting bulb maalum Kwa Kwa ajili ya KULELEA vifaranga     moja inauza tsh 15,000mawasiliani tupigie Kwa no 0787134716
03/08/2024

herting bulb maalum Kwa Kwa ajili ya KULELEA vifaranga moja inauza tsh 15,000
mawasiliani tupigie Kwa no 0787134716

Tunawakaribisha watanzania mbalimbali kujumuika nasi Kwa ajili ya ufugaji wa kisasa na kibiashara wa kuku wa mayai Kwa k...
28/07/2024

Tunawakaribisha watanzania mbalimbali kujumuika nasi Kwa ajili ya ufugaji wa kisasa na kibiashara wa kuku wa mayai Kwa kutumia vichanja imara vinavyoweza kudum zaidi ya miaka15 tutasimama na wewe bega Kwa bega katika kila hatua gharama ya cages zetu ni k**a ifuatavyo
Kuku 96. 650,000/=
Kuku 128. 850,000/=
Cage inakuwa complete na system za maji na chakula ,
nchini zaidi k**a upo mkoani gharama za malazi Kwa mafundi wetu na fundi kufika site ni za mteja ,

Tunawahakikishie wafugaji ambao wenye ndoto zakuanza miradi yao ya ufugaji na wenye Nia ya kutuchagua Elimu yakutosha hivo usisite tupigia simu tutembelee eneo ambalo una malengo kuanzisha mradi wako kupitia eneo lako na mazingira uliyo nayo tushauriane ,tukupe michoro ya mabanda yakisasa na imara,Business proposal Kwa gharama nafuu,tukuelekeze namna ya ufugaji kibiashara na kukupatia Dhana imara zitakazo kupunguzia gharama na nguvu kazi kubwa katika uzalishaji wako Kwa gharama nafuu, wasiliana nasi kupitia kitengo cha,

Huduma kwa wateja
0787134746
0746134745
Karibuni sana

kibiashara

hello  m bena farm Kwa kushilikiana na poulet layers cage campaniWamekuletea cage kutoka china  yenye matirio ya galvani...
21/07/2024

hello m bena farm Kwa kushilikiana na poulet layers cage campani
Wamekuletea cage kutoka china yenye matirio ya galvanize ambayo inadumu Kwa muda wa miaka 10 cage hii utaipata Kwa bei k**a ivi

cage inayo beba kuku 128 utaipata Kwa tsh 850,000

cage inayo hukuwa kuku 96 utaipata Kwa tsh 650,000
izo ni Kwa zile za umbo A

ipo pia za umbo H Saizi ileile
cage inayo beba kuku 128 umbo H tsh 950,000
cage ya kukub96 umbo H ni tsh 650,00
izi cage Kwa ajili ya kuku wa mayai (Leyers)

za kuku wa nyama
cage ya kuku 168 tsh 1,100,000
cage ya kuku 126 tsh 850,000
nk

Tunapatikana DAR es DALAM ubungo liver side

07871134746 karibuni nyote

ofa ofa karibu kwenye maonesho Aya ya sabasaba ujiipatie   bidhaa zote zinazousu ufugaji na kilimo  tupo viwanja vya sab...
01/07/2024

ofa ofa karibu kwenye maonesho Aya ya sabasaba ujiipatie bidhaa zote zinazousu ufugaji na kilimo tupo viwanja vya sabasaba mitaa ya mageleza au balaza la kiswaaili la zamani tupo karibu na watoa huduma ya vitambulisho vya taifa nida usikose kuja wewe mdau wa ufugaji kwani Kuna ofa kabambe unaweza kupiga simu hii apa Kwa maelezo
zaidi 0787134746

Kwa maitaji ya vifaa Bora vya ufugaji sogea karibu na maonesho sabasaba Dar es salam  na msm huu sabasaba utapata punguz...
28/06/2024

Kwa maitaji ya vifaa Bora vya ufugaji sogea karibu na maonesho sabasaba Dar es salam na msm huu sabasaba utapata punguzo la bei ivyo sogea karibu na viwanja vya sabasaba ujipatie huduma Bora na saii mawasiliani 0787134746

M BENA FARM WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFAA VYA UFUGAJI NA KILIMO  TUNAPATIKANA DAR es SALAM UBUNGOMashine hizi za kutot...
22/06/2024

M BENA FARM WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFAA VYA UFUGAJI NA KILIMO TUNAPATIKANA DAR es SALAM UBUNGO
Mashine hizi za kutotolesha mayai aina zote,
Zenye mfumo wa kisasa wa roller, zinapatikana pale Ikwa bei ileile ya
Hizi mashine ni full automatic
Zinasehem ya kupima yai mbegu
Zinatumia umeme na solar
Zinatunza joto masaa 24 umeme ukikata
Zina warranty ya mwaka mzima
Mayai 60 bei 300,000
Mayai 112 bei 450,000
tupo DAR es SALAM UBUNGO LIVE SADE
Wasiliana nasi kwa namba +2557871134746

tunafunga sistim ya maji kwenye mabanda ya nguruenipo moja ya ngurue ni tsh 3500 tupo ubungo liver side 0787134746
19/06/2024

tunafunga sistim ya maji kwenye mabanda ya ngurue
nipo moja ya ngurue ni tsh 3500
tupo ubungo liver side 0787134746

ni baadhi ya mashine tulizo nazo zinazo husu kitengeneza vyakula vya mifugo ya aina yote k**a kwenye picha zinavyoonesha...
18/06/2024

ni baadhi ya mashine tulizo nazo zinazo husu kitengeneza vyakula vya mifugo ya aina yote
k**a kwenye picha zinavyoonesha apo juu
Kwa maelezo zauditupigiea Simu no 0787134746 tunapatikana ubungo liver saidi

sisi ni wauzaji na wasambazaji wa vifaa vyote vinavyousu ufugaji na kilimo vilivyo bora Kwa bei nafuu kabisa usipitwe wa...
16/06/2024

sisi ni wauzaji na wasambazaji wa vifaa vyote vinavyousu ufugaji na kilimo vilivyo bora Kwa bei nafuu kabisa usipitwe wasilisna nasi kwa no izi 0787134746
tupo Dar es salam ubungo barabara ya kuwlekea Kwa Mzee wa upako ni miter 300 kutoka barabara kubwa ya nersoni mandera

TUMELETA MASHINE ZA KISASA ZA KUBANGUA KARANGA / PEANUT THRESHERZinabangua kilo 150 kwa saaMotor yake ni 2.2KWUmeme wa m...
26/05/2024

TUMELETA MASHINE ZA KISASA ZA KUBANGUA KARANGA / PEANUT THRESHER

Zinabangua kilo 150 kwa saa
Motor yake ni 2.2KW
Umeme wa majumbani
Warranty mwaka
BEI NI 1,600,000 Tsh

Omba video whatsapp kwa namba +255746134745 uone zinavyofanya kazi

Tunapatikana Dar es salaam na mikoani tunamawakala
+2557787134746
+255746134745 whatsapp

Natambua wewe ni mfugaji na una ndoto kubwa ya kufuga kuku wengi Ila hujaanza kufuga kwa sababu unaogopa badaadhi ya  ma...
21/05/2024

Natambua wewe ni mfugaji na una ndoto kubwa ya kufuga kuku wengi Ila hujaanza kufuga kwa sababu unaogopa badaadhi ya mambo yafuatayo

■kupata hasara ya vifo vya kuku
■umeme kukatika Mara kwa mara
■gharama kubwa za kununua vifaranga
■Magonjwa ya kuku

Basi usiogope suluisho ni M BENA FARM

M bena farm wasambazaji na wauzaji wa vifaa vya ufugaji wa kuku k**a vile incubator za kisasa kwa garama nafuu sana

M bena farm tunatoa mafunzo ya kufuga kuku kuanzia namna ya kulelea vifaranga wadogo hadi kuku wakubwa

Sifa za incubator zetu

Utotoleshaji ni hadi 98%

Uwezo wa kutunza joto ni masaa 10 baada ya umeme kukatika

Incubator zetu ni bora na tunatoa guarantee ya mwaka 1

Zipo Incubator ndogo za mayai 30 ,mayai 60 na mayai 120 kwa garama ndogo kabisa.

Mashine zetu ni full automatic zina sehemu ya egg tester (kipima mayai) manual book na tutakuwa na wewe siku zote kukushauri na kukufundisha mbinu za ufugaji wa kuku kibiashara

Tupo dar es Salaam ubungo liver said miter 300 kutka barabara kubwa ya nelson mandera unafuuta.barars ya kuelekea kwa mzee wa upako

+255 787134746
+255 746134745 whatsapp

Mikoani tunatuma na utalipia baada ya kuupokea mzigo wako

Tunauza vifaa mbalimbali k**a vile layers cage, broiler cage, pellet feed machine, animal feed mixer machine

Karibu sana kwa chochote unchoitaji kinacho usu ufugsji na vifaa vyake vyote

Mashine za kuangulia vifaranga *(AUTOMATIC INCUBATOR)*Ni full Automatic na zinatunza joto kwa muda mrefu endapo umeme ut...
11/05/2024

Mashine za kuangulia vifaranga *(AUTOMATIC INCUBATOR)*

Ni full Automatic na zinatunza joto kwa muda mrefu endapo umeme utakatika.
Asilimia kubwa zaidi za uanguaji mpaka 98%

*Bei za ofa kwa Mashine za kisasa na Bora zaidi Tanzania.*

*▪️Eggs 56 Bei 350,000*
*▪️Eggs 106 Bei 430,000*
*▪️Eggs 112 Bei 450,000*

*▪️Kuanzia mayai 56 Hadi 112 zimefungiwa mfumo wa umeme na solar.*

*▪️Eggs 120 bei 650,000*
*▪️Eggs 176 Bei 750,000*
*▪️Eggs 264 Bei 850,000*
*▪️Eggs 352 Bei 1,100,000*
*▪️Eggs 440. Bei. 1,300,000*
*▪️Eggs 528 Bei. 1,500,000*
*▪️Eggs 704. Bei. 1,700,000*
*▪️Eggs 880. Bei. 1,900,000*
*▪️Eggs 1056 Bei 2,000,000*
*▪️Eggs 1584. Bei. 2,800,000*
*▪️Eggs. 2112. Bei 3,500,000*
*▪️Eggs 3168. Bei. 4,500,000*
*▪️Eggs. 4224 Bei. 5,500,000*
*▪️Eggs 5280. Bei 6,500,000*

*NB:* Tutakupatia elimu jinsi ya kutumia na uendeshaji wa mashine kwa maendeleo ya mradi wako na kukuunganisha na Masoko kwenye magroup ya wafugaji *bure*.

Pia tunazo bidhaa nyingine za ufugaji k**a vile *Vifaranga wa Umri tofauti, cages , bulbs za Joto, heater, Incubator controller, motor, sensor n.k*

DAR Es SALAM UBUNGO LIVER SAIDI

0787134746
0746134745 whatsapp

TUNAUZA TAA MAALUMU KWA AJILI YA KULELEA VIFARANGA. ✓Taa hizi hutoa mwanga mwekundu na mweupe  ambao hupelekea kifaranga...
11/05/2024

TUNAUZA TAA MAALUMU KWA AJILI YA KULELEA VIFARANGA.

✓Taa hizi hutoa mwanga mwekundu na mweupe ambao hupelekea kifaranga kula vizuri chakula pia humpunguzia stress
✓Taa Moja hutosha Kwa vifaranga 100.
✓Hutoa Joto la kutosha.
✓Hudumu Kwa muda mrefu Bila kuungua.
✓Hutumia umeme kidogo
✓Huitaji tena kutumia mkaa hivyo hupunguza gharama
✓Huepusha uwezekano wa vifaranga kupata Magonjwa ya mfumo wa hewa yanayo sababishwa na gesi za carbon monoxide ✓Tuna watts tofaut tofaut
✓Zinakuja na warranty ya miezi sita.

Bei 15,000/=Tsh .

DAR ES SALAAM. LIVER SAID
BARABARA YA KUELEKEA KWA MEE WA UPAKO

AGIZA- Sasa 👍📲 0787134746

OFA OFA OFA*Jipatie mashine za kutotoleshea vifaranga kwa Bei Rahisi sana .Mayai30/=Tsh200,000Mayai 60  /=Tsh350,000Maya...
11/05/2024

OFA OFA OFA*
Jipatie mashine za kutotoleshea vifaranga kwa Bei Rahisi sana .
Mayai30/=Tsh200,000
Mayai 60 /=Tsh350,000
Mayai 112 /=Tsh 450,000
Mayai 140 /=Tsh 520,000
Mayai 120 mbaka 5000 Zipo.

SIFA ZA MASHINE (INCUBATOR)
▪︎Zinatumia solar na umeme.
▪︎Zinajiendesha yenyewe.
▪︎Zinatumia umeme kidogo(watt's 80/v12)
▪︎Zinatunza joto masaa 8 endapo umeme ukikatika.
▪︎Zinamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
▪︎Zinauwezo wa kuangua kwa 98%.
•Zinaangua mayai ya kuku/kanga/kware.
▪︎Tunakupa warranty ya mwaka 1
▪︎Ni imara na nirahisi kutumia kwa mfugaji yoyote.
TUPO DAR ES SALAAM
Ubungo liver saidi

BARABARA YA KUELEKEA KWA MZEE WA UPAKO

With Paul Mchumi – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
06/05/2024

With Paul Mchumi – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

04/05/2024

WAFUGAJI WA KUKU WA MAYAI MNAOPITIA CHANGAMOTO ZA KUKU KUPASUA MAYAI, KUKU KUFA OVYO, TUMELETA CAGE ZA KISASA KUFUGIA KUKU WA MAYAI
omba video whatsapp 0746134745 uone kuku wanavyokaa kwenye cage

Tuna cage za ngazi tatu (kuku 96) bei 650,000
Tuna cage ngazi nne(kuku 128) bei 850,000

TUNAUZAPIA MASHINE NA VIFAA VYA UFUGAJI K**A
1. Mashine za chakula cha kuku
2. Pellet machine za samaki
3. Ni***es za kuku
4. Mashine za Alizeti
5.Mashine za mabarafu

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA MIKOANI TUNATUMA
WAFUGAJI WA KUKU WA MAYAI MNAOPITIA CHANGAMOTO ZA KUKU KUPASUA MAYAI, KUKU KUFA OVYO, TUMELETA CAGE ZA KISASA KUFUGIA KUKU WA MAYAI
omba video whatsapp 0746134745 uone kuku wanavyokaa kwenye cage

Tuna cage za ngazi tatu (kuku 96) bei 650,000
Tuna cage ngazi nne(kuku 128) bei 850,000

TUNAUZAPIA MASHINE NA VIFAA VYA UFUGAJI K**A
1. Mashine za chakula cha kuku
2. Pellet machine za samaki
3. Ni***es za kuku
4. Mashine za Alizeti
5.Mashine za mabarafu

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA MIKOANI TUNAMAWAKALA
+255787134746
+255746134745

PIG NI***ES DRINKER ZA NGURUWE ZINAPATIKANA👉Ni***es hizi ni fully automatic ni***es kwaajiri ya mifugo Aina ya nguruwe 👉...
01/05/2024

PIG NI***ES DRINKER ZA NGURUWE ZINAPATIKANA

👉Ni***es hizi ni fully automatic ni***es kwaajiri ya mifugo Aina ya nguruwe

👉Unaweza kutumia kwa nguruwe wakubwa na wadogo

👉Ukitumia automatic pig ni***es nguruwe wako watapata maji safi na salama muda wote

👉Banda lako litakua kavu muda wote

👉Utapunguza magonjwa nyemelezi bandani mwako kwa 80%

BEI NI SHILINGI 5,000/=TU

☎️☎️ 0787134746 Whatsapp ip

MIKOANI TUNATUMA PIA 🚍🚍🚍
TUNAPATIKANA0 DAR ES SALAAM unungo live said

COMBINED OILMIL (SUNFLOWER)K**a unatafuta mashine bora na za kisasa za kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti basi hii ni ...
01/05/2024

COMBINED OILMIL (SUNFLOWER)
K**a unatafuta mashine bora na za kisasa za kukamua na kuchuja mafuta ya alizeti basi hii ni kwaajiri yako
Hizi mashine combined zinakamua na kuchuja hapohapo mafuta ya Alizet,karanga,korosho, nazi,mlonge longe na ufuta

Tunazo zenye uwezo tofauti tofauti k**a ifuatavyo
1.Tani 3.5 kwa siku 19,000,000
2. Tani 6.5 kwa siku 24,000,000
3. Tani 10 kwa siku 30,000,000
Kufungiwa mashine ni bure kabisa
Wasiliana nasi kwa namba
+255787134746
+255746134745whatsapp)

Tunazidi kutoa huduma za kufunga cages Sasa kwetu utapata cage za kuki wa mayai Na utapata cage za kuku wa nyama kwa Mti...
01/05/2024

Tunazidi kutoa huduma za kufunga cages
Sasa kwetu utapata cage za kuki wa mayai
Na utapata cage za kuku wa nyama kwa
Mtindo WA umbo A au umbo H zote zipo
Za kuku 128 ni tsh 850,000
Za kuku 96 ni tsh 650,000 kwa mikoa
Ya Dar es sa6 na pwani tunakuletea na
Kukufungia Bure kabisa sasa basi
Wasiliana na M,BENA FARM
Watakupatia huduma inauousu
Ufugaji na kilimo maali popote
Nchini huduma itafika tu

TUNAPATIKANA DAR Es SALAAM UBUNGO
BARABARA YA KUELEKEA KWA MZEE WA UPAKO
☎️☎️☎️☎️0787134746 WHATSAPP

Address

Ubungo Riverside
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbena Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbena Farm:

Videos

Share

Category


Other Animal Shelters in Dar es Salaam

Show All

You may also like