Wananchi Vet Center

Wananchi Vet Center VET CENTER

=}TUNATOA HUDUMA ZA MIFUGO;
CHANJO, MATIBABU PAMOJA NA USHAURI.

=}TUNAUZA MAD

Sekta ya mifugo ni miongoni mwa sekta zilizoajiri watanzania wengiKwa kutambua hili Wananchi Vet Center tunawatakia Heri...
01/05/2024

Sekta ya mifugo ni miongoni mwa sekta zilizoajiri watanzania wengi
Kwa kutambua hili Wananchi Vet Center tunawatakia Heri ya siku ya Wafanyakazi(Meimos) wafugaji wote

Habari ndugu wateja wetuHita za gesi zinapatikana ofisini kwetu Karibu ututembele ili ujipatie kwa Bei ya punguzoMawasil...
29/04/2024

Habari ndugu wateja wetu
Hita za gesi zinapatikana ofisini kwetu
Karibu ututembele ili ujipatie kwa Bei ya punguzo

Mawasiliano:
065231236
0710636436

26/04/2024

Kwa mahitaji ya vyakula bora vya mbwa na paka,,fika ofisini kwetu ujipatie vyakula bora vya makampuni mbalimbali..Karibuni sana..

K**a unasumbuliwa na wadudu mbalimbali nyumbani,shambani au ofisini kwako, basi usisite kutupigia simu Kwa huduma ya fur...
29/03/2024

K**a unasumbuliwa na wadudu mbalimbali nyumbani,shambani au ofisini kwako, basi usisite kutupigia simu Kwa huduma ya furmigation. Gharama zetu ni nafuu sana.Tupigie kwa namba 0652312236/0714414144..Karibuni sana..

24/03/2024

Je unajua yanayojiri katika ulimwengu wa tekinolojia ya wanyama wa kufugwa? Kuhusu haya na mengine mengi,,wasiliana nasi kupitia namba 0652312236/0714414144 tuzungumze..

Karibuni sana mjipatie buti nzuri na imara kwa bei nafuu sana..Zinafaa sana kwa shughuli za shamba na wakati wa mvua..Tu...
17/03/2024

Karibuni sana mjipatie buti nzuri na imara kwa bei nafuu sana..Zinafaa sana kwa shughuli za shamba na wakati wa mvua..Tupigie kwa namba 0652312236/0714414144

Unapofikiria kuhusu afya Bora ya wanyama wako,,basi suluhisho ni wananchi Vet Center. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana k...
15/03/2024

Unapofikiria kuhusu afya Bora ya wanyama wako,,basi suluhisho ni wananchi Vet Center. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana kigamboni kwa Msomali au tupigie kwa namba 0652312236/0714414144. Karibuni sana..

Je, unafahamu kuwa mbwa wako asipopata chanjo muhimu kwa wakati sahihi anaweza kupata magonjwa mengi hatarishi? Mlete mb...
06/03/2024

Je, unafahamu kuwa mbwa wako asipopata chanjo muhimu kwa wakati sahihi anaweza kupata magonjwa mengi hatarishi? Mlete mbwa wako apate chanjo kwenye clinic yetu ya iliyopo kigamboni round about ya mnadani au piga simu namba 0714414144/0789888993..Karibuni sana

Milk fever ni hali inayotokea kwa ng'ombe mwenye mimba kubwa( kukaribia kuzaa) au ambae ametoka kuzaa muda mfupi ambapo ...
03/03/2024

Milk fever ni hali inayotokea kwa ng'ombe mwenye mimba kubwa( kukaribia kuzaa) au ambae ametoka kuzaa muda mfupi ambapo ng'ombe huyo hushindwa kabisa kusimama jambo ambalo linaweza kuhatarisha afya yake pamoja na ya mtoto.Hii hutokana na ukosefu au upungufu wa madini ya Calcium pamoja na Phosphorus kwenye chakula kwa muda mrefu. Hivyo kumbuka madini hayo ni muhimu sana kwenye lishe ya wanyama wenye mimba Ili kuepukana na tatizo Hilo..

Tumeleta mzigo wa kutosha wa feeder za bati karibuni sana Wananchi Vet centre..
24/02/2024

Tumeleta mzigo wa kutosha wa feeder za bati karibuni sana Wananchi Vet centre..

09/10/2023

K**a unahitaji incubator za kutotoleshea mayai wasiliana nasi kwa namba 0710636436

Tunauza mabanda ya kuhamishika kwaajili ya mifugo tupigie 0710636436
31/07/2023

Tunauza mabanda ya kuhamishika kwaajili ya mifugo tupigie 0710636436

Tunatoa huduma ya installation ya vifaa vya kuku mabandani,,,tupigie kupitia 065-231-2236 au 0714414144
14/07/2023

Tunatoa huduma ya installation ya vifaa vya kuku mabandani,,,tupigie kupitia 065-231-2236 au 0714414144

Visit us for better health of your pet..
11/07/2023

Visit us for better health of your pet..

Gud morning miss China
01/11/2022

Gud morning miss China

Karibu ujipatie Alamycine Spray kwa Bei ya Jumla na Reja rejaSimu: 0652312236
30/10/2022

Karibu ujipatie Alamycine Spray kwa Bei ya Jumla na Reja reja

Simu: 0652312236

Tunauza tags za ndege (bird tags) kwa ajili ya kuku, bata n.kZinatumika kwa ajili ya kuweka alama ndege wakoSimu: 065231...
25/08/2022

Tunauza tags za ndege (bird tags) kwa ajili ya kuku, bata n.k
Zinatumika kwa ajili ya kuweka alama ndege wako

Simu: 0652312236
0710636436
Tupo Kigamboni, Dar es salaam


Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 20:00
Tuesday 07:30 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 07:30 - 20:00
Saturday 07:30 - 20:00
Sunday 11:00 - 17:00

Telephone

+255652312236

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wananchi Vet Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Veterinarians in Dar es Salaam

Show All

You may also like