Olympic Dog Trainer

Olympic Dog Trainer Tunatoa Mafunzo kwa mbwa aina zote kuanzia miezi 4 na kuendelea
we're the professional dog trainers

31/03/2023

Mpatie thamani mbwa wako kwa kumpa mafunzo aina yote Ili aweze kuwa msaada katika suala La ulinzi pale panapo hitajika
Tupigie simu 0749393609

31/03/2023

ULINZI SHIRIKISHI 🔥🔥
MBWA WAKO ANAWEZA KUA VYOVYOTE UTAKAVYO PIA
TUPIGIE SIMU LEO 0766777823

31/03/2023

ULINZI
Mafunzo ni kwa mbwa aina zote , haijalishi ni breed Gani ya mbwa , Don't blame your Dog he/she can possibly be what you want .. give us a call 0766777823

31/03/2023

MAFUNZO YA UKALI IN GROUPS
Our 2022 was great 🔥🙏 ,we g*t y'all covered this 2023/24 for all your canine needs .

31/03/2023

Mafunzo ya ukali na ujasiri (mbwa kuto muachia mhalifu 🔥🔥)
Tupigie simu leo 0766777823

We are a place for your Dog to learn ♥️ ... tupigie simu  0766777823
15/03/2023

We are a place for your Dog to learn ♥️ ... tupigie simu 0766777823

12/03/2023

The home for your Dog to learn

29/01/2023

MAFUNZO YA MBWA
Karibu Olympic dog trainers tuweze kukupa huduma ya mafunzo kwa mbwa Wako kwa ajili ya ULINZI
-Mafunzo ya NIDHAMU kwa mbwa Wako (general obedience course)

Mafunzo ya UKALI na UJASIRI kwa mbwa Wako (Aggression and Confidence training)

TUNAPO SEMA UKALI NI UKALI WA MBWA KUNG’ATA na kuto MUACHIA MHALIFU /MWIZI na VIBAKA mpaka umuamrishe kumuachia

MAFUNZO MAALUMU YA SUMU (poison) Toka kwa watu WABAYA k**a ilivyo zoeleka waharifu kutumia Sumu (nyama au vyakula vyenye SUMU)

Pia TUNA UZA MBWA WALIO NA MAFUNZO NA WASIO KUA NA MAFUNZO (PUPPIES NA WAKUBWA) na KUKODISHA MBWA KWA AJILI YA ULINZI

Mawasiliano 0766777823

16/12/2022

❗MAFUNZO YA MBWA KWA AJILI YA ULINZI❗
tunatoa Mafunzo maalumu kwa mbwa aina zote kuanzia miezi minne (4) yaani mafunzo ya ulinzi Ili kuepukana na wimbi zito la wizi na ujambazi ,

Kuna mafunzo maalumu kwa mbwa Ili kuepuka Sumu na vihatarishi k**a nyama yenye Sumu n.k

Mafunzo ya Nidhamu pia kwa mbwa (general obedience course)

Tuko Kahama mjini jirani na Ghamma Hotel ,pia kuna huduma ya kufuata mbwa toka mikoa yote na kumrudisha pale atakapo fuzu muda wake maalumu wa mafunzo
Mawasiliano piga 📞 0766777823 au 0658707823

16/11/2022

❗MAFUNZO YA MBWA KWA AJILI YA ULINZI❗
tunatoa Mafunzo maalumu kwa mbwa aina zote kuanzia miezi minne (4) yaani mafunzo ya ulinzi Ili kuepukana na wimbi zito la wizi na ujambazi ,

Kuna mafunzo maalumu kwa mbwa Ili kuepuka Sumu na vihatarishi k**a nyama yenye Sumu n.k

Mafunzo ya Nidhamu pia kwa mbwa (general obedience course)

Tuko Kahama mjini jirani na Ghamma Hotel ,pia kuna huduma ya kufuata mbwa toka mikoa yote na kumrudisha pale atakapo fuzu muda wake maalumu wa mafunzo
Mawasiliano 📞 0766777823

16/11/2022

Obedience training (mafunzo ya nidhamu)

Tupigie 📞 0766777823

Cc:4dog trainers

The Family 🐕‍🦺
13/11/2022

The Family 🐕‍🦺

05/11/2022

Aggression Training continues 💥
Tupigie simu leo 📞 0766777823

05/11/2022

Mafunzo ya MBWA kujiamini na kumvamia mhalifu

We're the Harvard university for your Dog ....."Don't blame your Dog"
05/11/2022

We're the Harvard university for your Dog .....
"Don't blame your Dog"

Dogs are not our whole lives but they make our lives whole ❤️Tupigie simu 📞 0766777823
02/11/2022

Dogs are not our whole lives but they make our lives whole ❤️
Tupigie simu 📞 0766777823

Brush laini za kuoshea mbwa zinapatikana Brush hii ni ya kuminya tu inakuruhusu kufanya mchanganyo wa dawa kwa juu Ili k...
02/11/2022

Brush laini za kuoshea mbwa zinapatikana

Brush hii ni ya kuminya tu inakuruhusu kufanya mchanganyo wa dawa kwa juu Ili kuweza kuangamiza wadudu kwa mbwa na paka ni laini sana (massage brush) haichubui ....

Address

Mhongolo
Kahama
306

Telephone

+255749393609

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Olympic Dog Trainer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Olympic Dog Trainer:

Videos

Share

Category


Other Kahama pet stores & pet services

Show All