Veterinary Service & Animal Care

Veterinary Service & Animal Care Business, Products & Services Pet Service
(2)

02/03/2024
Kwa mradi wa ufugaji wenye matokeo, wasiliana nasi tushirikiane kuhakikisha ubora matokeo tarajiwa .Tunakushauri kuanzia...
29/02/2024

Kwa mradi wa ufugaji wenye matokeo, wasiliana nasi tushirikiane kuhakikisha ubora matokeo tarajiwa .

Tunakushauri kuanzia kwenye Bussiness potential ya mradi unaotaka kufanya, eneo, ujenzi wa Banda, management ya rasilimali , na mpango mzima wa mapato na matumizi.

Karibu upate muongozo sahihi kwa matokeo chanya
0754031039

Mzani wa kuning'iniza wa Digital kg 50 , unapatikana dukani kwetu  Wasiliana nasi upate wako Leo. 0754031039
22/02/2024

Mzani wa kuning'iniza wa Digital kg 50 , unapatikana dukani kwetu

Wasiliana nasi upate wako Leo.
0754031039

Machine ya kukatia midomo ya kuku, inapatikana dukani  Karibu sana0754031039
22/02/2024

Machine ya kukatia midomo ya kuku, inapatikana dukani

Karibu sana
0754031039

Kijiko kinachopima ujazo wa dawa (Digital) kinapatikana dukani. Epuka kutoa dawa pungufu au zaidi , na pata matokeo chan...
20/02/2024

Kijiko kinachopima ujazo wa dawa (Digital) kinapatikana dukani.

Epuka kutoa dawa pungufu au zaidi , na pata matokeo chanya katika ufugaji wako.

Karibu ! just call or visit us today.
0754031039

Vifaranga vinapatikana  Tuna Vifaranga vya Broiler, Layers na Chotara.Orders zetu zipo kuanzia Tarehe 8/2/2024Tarehe 15/...
06/02/2024

Vifaranga vinapatikana
Tuna Vifaranga vya Broiler, Layers na Chotara.

Orders zetu zipo kuanzia Tarehe 8/2/2024
Tarehe 15/2/2024
Tarehe 22/2/2024
Tarehe 29/2/2024

Tupigie simu kuweka order yako mapema kulingana na ratiba yako.

We got you covered, karibu
0754031039

Teeth Clippers available at our shop. Kifaa Cha kukata meno ya ngurue kinapatikana dukani  0754031039
22/01/2024

Teeth Clippers available at our shop.

Kifaa Cha kukata meno ya ngurue kinapatikana dukani


0754031039

Tunauza ni***es za sungura na wanyama wengine. Pia vifaa vyote vya ufugaji vinapatikana dukani kwetu.Karibu  upate hudum...
15/01/2024

Tunauza ni***es za sungura na wanyama wengine. Pia vifaa vyote vya ufugaji vinapatikana dukani kwetu.

Karibu upate huduma Bora za kilimo na ufugaji.

0754031039

We sell all type of Cage systems for keeping Chicken and other domestic animals.Broiler Chicken CageLayer Chicken CageRa...
12/01/2024

We sell all type of Cage systems for keeping Chicken and other domestic animals.

Broiler Chicken Cage
Layer Chicken Cage
Rabbit chicken Cage
Pet birds cages
Etc.

Contact us for more information.

0754031039

Tunauza kuku wa kubwa kwa ajili ya kufuga au kitoweo.Wasiliana nasi uwahi wa kwako.✅Wana chanjo zote ✅Watagaji wazuri, m...
12/01/2024

Tunauza kuku wa kubwa kwa ajili ya kufuga au kitoweo.

Wasiliana nasi uwahi wa kwako.

✅Wana chanjo zote
✅Watagaji wazuri, mayai 230 kwa wiki 64 za utagaji
✅Uzito kwa ajili ya nyama hufika Hadi kilo 3.5

0754031039


Anza ufugaji bila stress na AfyaMIFUGO.

Vifaranga wa Broiler, Chotara na Layers wanapatikana,Kila siku ya jumatatu.Karibu upate kwa bei nafuu na vifaranga BoraU...
11/01/2024

Vifaranga wa Broiler, Chotara na Layers wanapatikana,Kila siku ya jumatatu.

Karibu upate kwa bei nafuu na vifaranga Bora

Ulinunua vifaranga kwetu utapata huduma ya ushauri kuhusu mradi wako muda wote wa ufugaji.

Karibu ufuge na afya Mifugo AGROVET.

Wasiliana nasi Leo !

0754031039

Milking machine available  Wasiliana nasi uboreshe mradi wako.0754031039
03/01/2024

Milking machine available

Wasiliana nasi uboreshe mradi wako.
0754031039

Call for application guidelines.0754031039
24/12/2023

Call for application guidelines.

0754031039

20/12/2023

Vifaranga wa siku Moja aina ya chotara wanapatikana Leo. Wahi mapema .  Utajirike Christmas. 0754031039
28/11/2023

Vifaranga wa siku Moja aina ya chotara wanapatikana Leo. Wahi mapema . Utajirike Christmas.


0754031039

Vifaranga Vifaranga VifarangaWahi kuweka order yako Leo.  0754031039
23/11/2023

Vifaranga Vifaranga Vifaranga

Wahi kuweka order yako Leo.

0754031039

Usipitwe na msimu, panda mahindi kwa kutumia mbegu Bora ya tumbili, ufaidi mavuno ndani ya muda mfupi.Available at our s...
23/11/2023

Usipitwe na msimu, panda mahindi kwa kutumia mbegu Bora ya tumbili, ufaidi mavuno ndani ya muda mfupi.

Available at our shop.

0754031039

Mzani, unapima mpaka kilo 300.Unapatikana dukani kwetu. 0754031039           'ombewaMaziwa
21/11/2023

Mzani, unapima mpaka kilo 300.

Unapatikana dukani kwetu.


0754031039










'ombewaMaziwa









Tunauza Vifaranga vya aina zote. Karibu uwahi oda yako mapema.Vifaranga vinapatikana tarehe 27 Nov 0754031039           ...
21/11/2023

Tunauza Vifaranga vya aina zote.

Karibu uwahi oda yako mapema.

Vifaranga vinapatikana tarehe 27 Nov


0754031039










'ombewaMaziwa









Make sure your flock is well supplemented.Available at our shop. 0754031039           'ombewaMaziwa
17/11/2023

Make sure your flock is well supplemented.

Available at our shop.

0754031039










'ombewaMaziwa









Amprolium ni dawa inayotumika kwa wanyama, hasa kwa ajili ya kutibu au kuzuia maambukizi ya coccidiosis. Coccidiosis ni ...
09/11/2023

Amprolium ni dawa inayotumika kwa wanyama, hasa kwa ajili ya kutibu au kuzuia maambukizi ya coccidiosis. Coccidiosis ni ugonjwa wa matumbo unaosababishwa na protozoa wanaoitwa coccidia. Amprolium hufanya kazi kwa kuzuia ukuaji wa coccidia.

Inapatikana dukani, karibu sana uikinge mifugo yako.


0754031039










'ombewaMaziwa









DexamethasoneDawa kwa ajili ya kudhibiti reaction conditions mbali mbali zitokanazo na hali ya ugonjwa wa mnyama. Mfano ...
08/11/2023

Dexamethasone
Dawa kwa ajili ya kudhibiti reaction conditions mbali mbali zitokanazo na hali ya ugonjwa wa mnyama. Mfano homa, allergies, maumivu ya viungo n.k

Dawa hii inapatikana dukani.
Karibu sana .


0754031039










'ombewaMaziwa









VIFARANGA BORA VYA INTERCHICK VINAPATIKANAWahi Fursa ya kufuga kuku wa nyama  kwa soko la uhakika msimu wa Christmas na ...
04/11/2023

VIFARANGA BORA VYA INTERCHICK VINAPATIKANA

Wahi Fursa ya kufuga kuku wa nyama kwa soko la uhakika msimu wa Christmas na Mwaka mpya.

Vifaranga vya kuku wa nyama (Broiler), Kuku chotara (Tanbro) na kuku watagaji (Layers)
vinapatikana.

Wasiliana nasi kuwahi vifaranga vyako mapema.
0754031039


Vifaa vyote vya kufugia, Chakula Cha kuku wako ,na Chanjo kwa ajili ya kukinga magonjwa vinapatikana kwetu.

Huduma ya ushauri na usimamamizi wa mradi wako wa ufugaji inapatikana.

Karibu sana..

Pata maarifa, Fuga, Tajirika!
0754031039

Wahi Fursa ya kufuga kuku wa nyama  kwa soko la uhakika msimu wa Christmas na Mwaka mpya. Vifaranga vya kuku wa nyama (B...
02/11/2023

Wahi Fursa ya kufuga kuku wa nyama kwa soko la uhakika msimu wa Christmas na Mwaka mpya.

Vifaranga vya kuku wa nyama (Broiler), Kuku chotara (Tanbro) na kuku watagaji (Layers)
vinapatikana.

Wasiliana nasi kuwahi vifaranga vyako mapema.
0754031039


Vifaa vyote vya kufugia, Chakula Cha kuku wako ,na Chanjo kwa ajili ya kukinga magonjwa vinapatikana kwetu.

Huduma ya ushauri na usimamamizi wa mradi wako wa ufugaji inapatikana.

Karibu sana..

Pata maarifa, Fuga, Tajirika!
0754031039

Tunauza vifaa muhimu vya kulelea vifaranga. Kipima joro cha kidigitali bei ya jumla na rejareja Taa za joto Watt 200 bei...
24/10/2023

Tunauza vifaa muhimu vya kulelea vifaranga. Kipima joro cha kidigitali bei ya jumla na rejareja Taa za joto Watt 200 bei ya jumla na rejareja

Tunafanta delivery

Fuga nasisi uvivuke vikwazo.

Pig ni***es, available. 0754031039           'ombewaMaziwa
10/10/2023

Pig ni***es, available.

0754031039











'ombewaMaziwa









Available at our shop.0754031039           'ombewaMaziwa
05/10/2023

Available at our shop.
0754031039












'ombewaMaziwa









Address

Kibaha
61104

Telephone

+255754031039

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Veterinary Service & Animal Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Veterinary Service & Animal Care:

Videos

Share

Category


Other Kibaha pet stores & pet services

Show All

You may also like