Agriculture Equipments and Pestisides

Agriculture Equipments and Pestisides Kwa Tenda, Order toka Mashirika, Serikali na watu Binafsi ni Suruhisho la kudumu Kigoma,karibu upate MKOMBOZI WA WAKULIMA

Lakini pia booster hii Hutumika K**a Pesticide na tunashauri mkulima anapoitumia asichanganye na sumu yoyote na hapaswi ...
01/08/2022

Lakini pia booster hii Hutumika K**a Pesticide na tunashauri mkulima anapoitumia asichanganye na sumu yoyote na hapaswi kuzidisha Ml 60 ,Kwa Lita 20 za maji.
Imetengenezwa kwa kuwekewa aina ya bacteria wanaoweza kushambulia mayai ya wadudu yanayotagwa kwenye majani ikiwemo na mayai ya kanitangaze.
Lakini pia huchochea maua na kuzuia maua kudodoka kwani imebatanishwa na Cabedaizim organelle.
Ikipingwa kwenye mahindi machanga huzuia Moja kwa moja wadudu wanaoshambuliaahidi.

Itakusaidia sana k**a kiua kuvu kizuri na kiua dudu,

Inaongeza wingi wa Maua, na kulinda matunda.

Karibu sana Hutajutia kutumia Booster Yetu,

Tazama hapo chini kazi yake kwenye Mashamba Darasa , hatujawahi piga kiua kuvu wa kiua dudu tangu ianze itumike.

Kwa Mahitaji zaidi na order piga namba

+255757494890/ 0625952702,

E mail: [email protected].

Karibu sana SEMA G AGROTECH kwa huduma nzuri na bora.

01/08/2022

Address

Kigoma Mji Mwema
Kigoma
BOX158,KAKONKO

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agriculture Equipments and Pestisides posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Agriculture Equipments and Pestisides:

Share

Category


Other Kigoma pet stores & pet services

Show All