Ajay Bin Wahshii

Ajay Bin Wahshii veterinary services

11/10/2022

Mambo 3 Ya Kujiambia Kila Unapoamka Asubuhi.

1. Nitajaribu Tena:

Bila kujali jana imekuwa mbaya kiasi gani na imekukosesha furaha au hata umekosa usingizi, leo ni siku mpya, anza kwa kuamini katika KUWEZEKANA.

2. Sitapoteza Furaha Yangu:

Ukipoteza furaha unapoteza nguvu ya kusonga mbele.

Usiruhusu maneno ya watu, hali ngumu unayoipitia ama kuumizwa moyo kukunyang'anye furaha.

Unachopitia ni cha Muda mfupi, ANGALIA KUZURI unakokwenda na SAHAU MABAYA YALIYOPITA.

3. Sitalaumu, Sitalalamika: Mambo haya mawili ni sababu kubwa ya kuufanya ubongo wako usifanye kazi kwa ufanisi.

Unapolaumu ama kulalamika unauambia ubongo wako kuwa UMESHINDWA kupata suluhisho na hivyo unaua nguvu yako ya ubunifu.

Jaribu kutolaumu au kutolalamika kwa siku nzima leo na utaona tofauti yake.

Umeshajiambia Mambo Haya Matatu?

25/08/2022

sekta ya mifugo ni sekta nyeti katika ukuaji wa pato la nchi
pia husaidia watu kujiingizia kipato
bado kujachelewa aanza sasa kuwekeza katika ufugaji ili kuongeza kipato chako Kwani MIFUGO NI MALI

25/08/2022
25/08/2022
25/08/2022
18/08/2022

karibu sana

Address

Morogoro

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 07:30 - 23:45
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 18:00

Telephone

+255715876449

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ajay Bin Wahshii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category