03/07/2024
KWANINI UFUGE NGURUWE?
))) Wanaweza kukua haraka,
)))Wanahitaji eneo dogo kukua,
)) Wana faida zaidi kuliko ufugaji mwingine wowote,
JINSI YA KUINGIA KWENYE BIASHARA YA UFUGAJI WA NGURUWE?
A)
1. Unahitaji kuwa na mfumo mzuri wa mabanda ambapo usafi ni rahisi kufanyika. Yaani madirisha yanayo ingiza hewa ya kutosha, mifereji ya maji mizuri, maji ya safi kunyweshea, chakula bora, sakafu nzuri, mfumo mzuri wa usalama wa mazingira ulio na uzio mzuri na lango/getin.k.
2. Kuwa na chanzo kizuri cha maji ambayo ni safi na salama kwa nguruwe.
3. Kuwa na chanzo kizuri cha malighafi ya chakula.
4. Kuwa na fomula ya chakula inayotoa matokeo mazuri.
5. Kuwa na wafanyakazi waliofunzwa vyema na wenye uzoefu.
6. Kuwa na Daktari wa Mifugo kwenye kazi ambae unaweza mpigia simu akafika maramoja.
7. Mwisho kabisa uwe na lengo na shabaha uliyojiwekea ili usiwe unaelea k**a wafugaji wengine.
B)
Mbegu utayofuga inapaswa kuwa ya kigeni(exotic breeds) ambayo LargeWhite au Landrace inapendekezwa zaidi.
*Maandalizi* : veterinary co ltd #
Morogoro dc #0623299626