13/10/2024
Nipo nyumbani, nina amani na nipo huru, popote naweza kuruka na popote naweza kutua..
Jenga banda la vyumba la urefu wa 2ft na upana wa 2.5ft. Njiwa huishi miaka 12, huanza kutaga miezi 6 toka kuzaliwa na wastan kila mwezi. KARIBU TUKUHUDUMIE
Kawe
Dar Es Salaam
Be the first to know and let us send you an email when Mwarabu Njiwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Ufugaji wa njiwa na ndege wa mapambo unakua kwa kasi kubwa katika maeneo mengi nchini Tanzania, Watu wengi huhitaji njiwa wa mapambo, kuku wa mapambo na bata wa mapambo. kwa kua ni kitu kigeni kwa walio wengi, hivyo wafugaji huhitaji maelezo mbali mbali yakiwemo, utayarishaji wa mabanda, vyakula na matibabu.
Ukurasa wa Mwarabu Njwa upo na wewe bega wa bega kuhakikisha tunafika katika malengo ya ufugaji wa ndege wa mapambo .