Vifaranga hawahitaji eneo kubwa sana katika majuma manne ya kwanza. Nafasi inayohitajika kwa kukadiria ni meta 1 ya mraba kwa vifaranga 16. Kwa mfano nyumba yenye meta 10 za mraba inatosha kutunzia vifaranga 160 hadi wanapofikisha umri wa majuma manne.
Okoa zaidi ya nusu ya gharama za chakula cha mifugo yako kwa kuandaa na kuzalisha Hydroponic Fodder! Moja kati ya sababu nyingi za kuchagua mbegu kurugenzi ya Kuku wa kienyeji walioboreshwa aina ya Kuroilers ni kwamba maumbile yao hasa midomo yao (beaks) na miguu yao (claws) huwawezesha kula aina hii ya chakula yani fodder kama sehemu kubwa ya mlo wao kwa siku! Huna haja ya kulalamika kuhusu gharama ya chakula tenaππ½ kilo moja ya ngano inaweza ikatosha kulisha Kuku 10 kwa siku! Fuga Kuroilers sasa!
Tupigie kwa maelezo zaidi
0745 195 431
#AgribusinessKenya
Kuna haja ya Serikali kupitia kwa wizara yenye dhamana kuhakikisha wanatoa kipaumbele katika kuboresha, kuendeleza na kuongeza njia bora za uzalishaji wa kuku wa nyama na mayai kwa kuwa mahitaji ya ulaji wa kuku wa nyama na mayai umeongezeka maradufu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya ongezeko la idadi ya watu. π
@wizara_ya_kilimo @viwandabiashara
#Kilimobiashara
Je wajua kuku yoyote huweza kutaga yai, bila hata ya kupandwa na Jogoo! ππ
Cred: Caleb Karuga
#feedthefuture #love #ukulimasioushamba
Umewahi kula Kuku aliyepikwa naye Akapikika, ππ Basi check page ya @dikobymonalisa for the Best chicken recipes in townππππ
@dikobymonalisa
@dikobymonalisa
How long does it take for a chicken egg to hatch naturally?
πππππ₯
Did you Know a day old chick can survive for 3 days w/out Eating or Drinking and still stay Healthy AF! πNow you Know!
#icanimustiwill
#ukulimasioushamba