FarmersMarket_Tz

FarmersMarket_Tz PLATFORM TO ADVERTISE, BUY & SELL FARMING PRODUCTS......

JUKWAA LA KUTANGAZA, KUUZA NA KUNUNUA BIDHAA ZA KILIMO NA MIFUGO

Platform to Advertise, Buy and Sell Agricultural Products - Jukwaa la kutangaza, Kuuza na Kununua bidhaa za Mifugo na Kilimo

Bidhaa: Butternut Muuzaji: Mr Godfrey Mahali: Gongolamboto, Dar es Salaam   Bei: Tsh 2000 kwa  1   piga 0719222998 au 07...
01/10/2022

Bidhaa: Butternut Muuzaji: Mr Godfrey Mahali: Gongolamboto, Dar es Salaam Bei: Tsh 2000 kwa 1 piga 0719222998 au 0745212141 kuunganishwa

butternut kwa bei nzuri, tembelea www.farmersmarket.co.tz upate bei nzuri na ujionee bidhaa mbalimbali. Pia unakaribishwa kutangaza nasi

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more me...
15/08/2019

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more meat. It is important to watch your chickens every day to check on their health. Watching carefully and keeping them healthy means you can prevent and control diseases. It is important to keep unhealthy birds away from the rest of the healthy chickens. [ 477 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/poultry-health-diseases/

POULTRY HEALTH AND DISEASES : If chickens are healthy it will keep disease away. This will also be more eggs and more meat. It is important to watch your ...

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by ma...
14/08/2019

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by many as a non-income generating activity. However, in recent years many farmers have started to realize its potentiality as a profitable investment. ADVANTAGES OF RABBIT FARMING Their feed requirement is low, especially with regard to demand for grain. Their housing and disease control managements are also low yet their meat is highly nutritious and healthier source of protein when compared with other sources of meat. [ 927 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/rabbit-farming-profitable-business/

RABBIT FARMING A PROFITABLE BUSINESS : Rabbit farming is not a new enterprise in East Africa despite misconception by many as a non-income generating ....

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana ...
07/08/2019

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana na ukweli kwamba wakati wanapata ziada ya maziwa wanayozalisha na soko la maziwa kupungua hufikiria namna nyingine ya kuokoa ziada hiyo isiharibike kwa kutengeneza bidhaa nyingine. Mtindi unaotayarishwa nyumbani kwa kawaida huwa mtamu na huweza kutumika muda wowote wa mchana k**a vile nyongeza nyepesi ya kifungua kinywa au kutumika k**a kinywaji cha kuboresha afya zetu kwa kuchanganywa na asali au matunda na kuweza kunywewa nyakati za jioni. [ 708 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/utayarishaji-wa-mtindi-nyumbani/

UTAYARISHAJI WA MTINDI NYUMBANI : Wafugaji wengi wamekuwa wakiuliza mbinu za kutayarisha mtindi nyumbani. Hii inatokana na ukweli kwamba wakati wanapata

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhi...
06/08/2019

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhisi mwenye shibe kwa kipindi kirefu. Hii inatokana na ukweli kwamba yai moja kubwa lina uwezo wa kukupatia protini yenye ubora mkubwa na virutubisho mbalimbal muhimu vinavyohitajika mwilini isipokuwa vitamin C. Ndiyo maana inashauriwa kujumuisha matunda au juisi ya machungwa yai, na mkate uliotayarishwa kwa unga wa ata hukupatia kifungua kinywa (breakfast) kilichokamilika humwezesha mtumiaji kuwa katika hali nzuri kiafya na hivyo kuweza kukabiliana vilivyo na changamoto mbalimbali za maisha. [ 955 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/faida-kumi-za-ulaji-wa-mayai-mwilini/

FAIDA KUMI ZA ULAJI WA MAYAI MWILINI : 1. MAYAI HUMSAIDIA MTUMIAJI KUBORESHA UFANISI KIUTENDAJI: Humsaidia mtumiaji kuhisi mwenye shibe kwa kipindi kirefu.

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata u...
05/08/2019

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la baadhi ya wakulima kwa sasa nchini. Hivi sasa kumekuwa na uhamasishaji mkubwa wa kilimo hiki kwa vile wakulima wengi wamekuwa na shauku ya kupata faida kubwa lakini kwa bahati mbaya sana hawana uzoefu wa kutosha wa teknolojia hii. [ 764 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/uzalishaji-wa-mazao-kwenye-nyumba-ya-wavu-yaani-greenhouse/

UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE : Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO ? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimba...
31/07/2019

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO ? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimbali zinazofanyika shambani kwako. Mathalani, kuweza kutambua faida kiasi gani imepatikana kutokana na uzalishaji wa maziwa, au kutokana na uzalishaji wa mahindi? Uwekezaji upi una tija au upi husababisha hasara?, Ni dhahiri unahitaji kujua taarifa fulani iwapo utahitaji kubadili zao unalolizalisha au pale unapoamua kununua au kutonunua ng’ombe mwingine. [ 727 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/je-unaweka-vyema-kumbukumbu-za-shamba-lako/

JE, UNAWEKA VYEMA KUMBUKUMBU ZA SHAMBA LAKO? : Uwekaji wa kumbukumbu utakuwezesha kutambua ufanisi wa shughuli mbalimbali zinazofanyika shambani kwako.

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kuj...
31/07/2019

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kujiuliza ni kiti gani muhimu kuzingatia iwapo unataka kuzalisha matikiti maji yenye ubora unaokubalika? • Jambo la kwanza na muhimu ni kutafuta shamba katika eneo muafaka kwa kilimo hiki: Mkulima anashauriwa kulima matikiti maji katika ardhi yenye joto na yenye kutitirisha (well drained) maji vizuri. [ 913 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/kilimo-cha-matikiti-maji/

KILIMO CHA MATIKITI MAJI : Wakulima wengi wametuomba tuwaandikie makala kuhusu uzalishaji wa matikiti maji. Yatupasa kujiuliza ni kiti gani muhimu ...

MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KILIMO NA MIFUNGO 14 : Utafiti uliofanywa katika mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Iringa...
31/07/2019

MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KILIMO NA MIFUNGO 14 : Utafiti uliofanywa katika mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Iringa unaonyesha kuwa sehemu kubwa ya wakazi wa mikoa hiyo ni wafugaji, lakini mifugo haiwanufaishi kiuchumi. Kwa mfano mkoani Ruvuma mtu anakunywa lita 11.6 tu za maziwa kwa mwaka ukilinganisha na viwango vya kitaifa na kimataifa vya unywaji maziwa kwa mwaka. [ 387 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/matokeo-ya-tafiti-mbalimbali-za-kilimo-na-mifungo-14/

MATOKEO YA TAFITI MBALIMBALI ZA KILIMO NA MIFUNGO 14 : Utafiti uliofanywa katika mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Iringa unaonyesha kuwa sehemu kubwa

ULIZA UJIBIWE 14 SWALI: Ndugu Haji Ally wa Gando, Pemba anauliza, Ng’ombe wangu anaumwa na ameonyesha dalili za kukojoa ...
27/07/2019

ULIZA UJIBIWE 14 SWALI: Ndugu Haji Ally wa Gando, Pemba anauliza, Ng’ombe wangu anaumwa na ameonyesha dalili za kukojoa damu. Nilijaribu kupata ushauri wa afisa mifugo aliye karibu yangu ambaye baadaye alimhudumia mnyama wangu lakini tatizo limeendelea na sasa imempunguzia uwezo wake wa kuzalisha maziwa. Tafadhali nishauri namna ambavyo nitaweza kumtibu. JIBU: Kutokwa mkojo uliochanganyikana na damu ni dhahiri husababishwa na aina mbalimbali za bakteria, virusi na vijidudu nyemelezi, uvimbe mwilini au hata sumu mwilini. [ 266 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/uliza-ujibiwe-14/

ULIZA UJIBIWE 14 SWALI: Ndugu Haji Ally wa Gando, Pemba anauliza, Ng’ombe wangu anaumwa na ameonyesha dalili za kukojoa damu.

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOANZISHA MRADI WA UZALISHAJI : Miaka ya karibuni kumekuwepo na kampeni kubwa ya maendeleo ya kil...
27/07/2019

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOANZISHA MRADI WA UZALISHAJI : Miaka ya karibuni kumekuwepo na kampeni kubwa ya maendeleo ya kilimo inayofanywa na Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa sekta hii kuwahamasisha wakulima kukifanya kilimo chao k**a shughuli kamili ya kuwaingizia kipato. Wale ambao walikubali kubadilika na kuzingatia kanuni kwa kuajili watu wenye busara, weledi na maarifa ya usimamiaji wa shughuli hizi hivi sasa wanafaidika nazo, kwani wanapata pesa za kutosha zinazoingia mifukoni mwao kila kukicha na wameweza kuziba mianya yote ambayo hupelekea upotevu wa pesa zao. [ 843 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/mambo-ya-kuzingatia-unapoanzisha-mradi-wa-uzalishaji/

MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOANZISHA MRADI WA UZALISHAJI : Miaka ya karibuni kumekuwepo na kampeni kubwa ya maendeleo ya kilimo inayofanywa na Serikali pamoja

MAMBO MUHIMU YA KUEPUKWA NA WAFUGAJI SUNGURA : Katika matoleo yetu yaliyopita tumekuwa tukiwaletea makala mbalimbali kuh...
27/07/2019

MAMBO MUHIMU YA KUEPUKWA NA WAFUGAJI SUNGURA : Katika matoleo yetu yaliyopita tumekuwa tukiwaletea makala mbalimbali kuhusu ufugaji wa sungura na wasomaji wetu wametokea kuvutiwa sana a wamekuwa wakiomba tuendelee kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu ufugaji huu. Sungura ni aina ya wanyama ambao wanaoathiriwa na magonjwa mbalimbali na hivyo inapasa wafugaji wake kuwachunguza mara kwa mara. Uchunguzi huu utasaidia kujua k**a k**a wana uchovu (stress) au tatizo lolote ambalo huenda likapelekea kuathiri sungura wako. [ 516 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/mambo-muhimu-ya-kuepukwa-na-wafugaji-sungura/

MAMBO MUHIMU YA KUEPUKWA NA WAFUGAJI SUNGURA : Katika matoleo yetu yaliyopita tumekuwa tukiwaletea makala mbalimbali kuhusu ufugaji wa sungura na wasomaji

MBINU ZA KUWAVUTA NYUKI KWENYE MZINGA : Makala hii ni mwendelezo wa makala ya ufugaji nyuki tuliyoizungumzia katika tole...
27/07/2019

MBINU ZA KUWAVUTA NYUKI KWENYE MZINGA : Makala hii ni mwendelezo wa makala ya ufugaji nyuki tuliyoizungumzia katika toleo letu la kumina tatu. Hivyo tuna imani wafugaji wetu wataendelea kuifurahia na kunufaika zaidi. Endelea... Kuingia idadi ndogo ya nyuki kwenye mizinga ni moja ya changamoto zinazowakabili wafugaji wengi wanaotaka kuanza miradi ya ufugaji nyuki. Hivyo iwapo umekabiliwa na tatizo hili ni vema basi ukahakikisha yafuatayo: [ 425 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/mbinu-za-kuwavuta-nyuki-kwenye-mzinga/

MBINU ZA KUWAVUTA NYUKI KWENYE MZINGA : Makala hii ni mwendelezo wa makala ya ufugaji nyuki tuliyoizungumzia katika toleo letu la kumina tatu. Hivyo tuna

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specifi yaani h...
27/07/2019

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specifi yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama k**a Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants) Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu k**a vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis… [ 230 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/magonjwa-ya-mifugo-wanyama-hatarishi-kwa-afya-ya-binaadamu/

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specifi yaani husababisha aina moja

DONDOO MUHIMU ZA KUBORESHA UZALISHAJI WA MBUZI : BANDA LA MBUZI Mbuzi ni aina ya mifugo wanaopenda kuwa pamoja na hukua ...
25/07/2019

DONDOO MUHIMU ZA KUBORESHA UZALISHAJI WA MBUZI : BANDA LA MBUZI Mbuzi ni aina ya mifugo wanaopenda kuwa pamoja na hukua vyema wanapokuwa pamoja kwenye kundi. Na huhitaji nafasi zaidi ya kuchanganyika kuliko nafasi ambayo kondoo wanahitaji. Iwapo mbuzi hawatapatiwa nafasi ya kutosha kuweza kutembeatembea ndani ya banda basi kasi yao ya uzalishaji wa nyama na maziwa hupungua. • Banda la mbuzi lazima liwe na uwezo wa kuwakinga dhidi ya mvua, joto lililokithiri na baridi kali, banda zuri ni lile lenye nafasi ya kupumzikia au mahali ambapo mbuzi wa huweza kucheza, mahali pa kulelea ndama, nafasi ya mbuzi kulala na sehemu ambazo mbuzi… [ 799 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/dondoo-muhimu-za-kuboresha-uzalishaji-wa-mbuzi/

DONDOO MUHIMU ZA KUBORESHA UZALISHAJI WA MBUZI : BANDA LA MBUZI Mbuzi ni aina ya mifugo wanaopenda kuwa pamoja na hukua vyema wanapokuwa pamoja kwenye

HOMA YA MAPAFU KWA MBUZI : Ugonjwa huu kitaalam hujulikana kitaalam k**a Contagious Caprine Pleuropnemonia. Ugonjwa huu ...
25/07/2019

HOMA YA MAPAFU KWA MBUZI : Ugonjwa huu kitaalam hujulikana kitaalam k**a Contagious Caprine Pleuropnemonia. Ugonjwa huu husababishwa na husababishwa na vimelea vya bakteria waitwao Mycoplasma mycodes var capri. WANYAMA HUSIKA: MBUZI • Ugonjwa huu huenea kwa njia zifuatazo: - Kuvuta hewa yenye vumbi iliyochanganyika na vimelea hao-droplet nuclei kutoka nje ya banda (upepo). - Kuvuta hewa yenye vijidudu ndani ya banda:- [ 186 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/homa-ya-mapafu-kwa-mbuzi/

HOMA YA MAPAFU KWA MBUZI : Ugonjwa huu kitaalam hujulikana kitaalam k**a Contagious Caprine Pleuropnemonia. Ugonjwa huu husababishwa na husababishwa na

DONDOO MUHIMU KWA WAFUGAJI WAPYA WA NG’OMBE WA MAZIWA : Ni muhimu kutambua kwamba ufugaji wa ngombe wa maziwa pia ni mpa...
25/07/2019

DONDOO MUHIMU KWA WAFUGAJI WAPYA WA NG’OMBE WA MAZIWA : Ni muhimu kutambua kwamba ufugaji wa ngombe wa maziwa pia ni mpango maalumu wa uendelezaji (upgrading) wa ng’ombe bora kiuzalishaji. Vilevile uzalishaji wa maziwa huanza pale ng’ombe anapoanza kutoa maziwa na hii hutokea mara tu anapozaa. Vilevile, ufugaji huu huenda sambamba na uendelezaji wa mitamba, uzalishaji wa madume kwa ajili ya kupata mbegu bora na kufuga ng’ombe kwa ajili ya nyama. [ 793 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/dondoo-muhimu-kwa-wafugaji-wapya-wa-ngombe-wa-maziwa/

DONDOO MUHIMU KWA WAFUGAJI WAPYA WA NG’OMBE WA MAZIWA : Ni muhimu kutambua kwamba ufugaji wa ngombe wa maziwa pia ni mpango maalumu wa uendelezaji

UATAMIAJI NA UTOTOLESHAJI MAYAI KWA KUTUMIA MASHINE MAALUM : Wafugaji wengi hivi sasa wamegundua faida ya kutumia mashin...
22/07/2019

UATAMIAJI NA UTOTOLESHAJI MAYAI KWA KUTUMIA MASHINE MAALUM : Wafugaji wengi hivi sasa wamegundua faida ya kutumia mashine za kuatamiza na kutotoleshea vifaranga. Kwa sababu wanataka kuboresha uzalishaji wao wa kuku, na hata baadhi yao wamejaribu kuwekeza vyema katika utumiaji wa teknolojia hii. Ni mradi wenye kuweza kuwapatia wafugaji tija kwa haraka ukichukulia kwamba hivi sasa kuna hitaji kubwa la vifaranga. [ 1,013 more word ]
http://farmersmarket.co.tz/uatamiaji-na-utotoleshaji-mayai-kwa-kutumia-mashine-maalum/

UATAMIAJI NA UTOTOLESHAJI MAYAI KWA KUTUMIA MASHINE MAALUM : Wafugaji wengi hivi sasa wamegundua faida ya kutumia mashine za kuatamiza na kutotoleshea

KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA) : Ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria ambao unaoshambulia karibu aina zote za nde...
22/07/2019

KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA) : Ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria ambao unaoshambulia karibu aina zote za ndege, ugonjwa huu ni hatari ambapo vifo ni kati ya 30% hadi 80%. NJIA ZA UENEAJI UGONJWA • Utupaji ovyo wa mizoga ya kuku, kwani mzoga unaweza kukaa na vimelea kwa zaidi ya miezi mitatu. • Kupitia chakula na maji yenye mchanchanyiko na vimelea hivyo. [ 147 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/kipindupindu-cha-kuku-fowl-cholera/

KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA) : Ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria ambao unaoshambulia karibu aina zote za ndege, ugonjwa huu ni hatari ambapo

FAIDA YA MATUNDA NA TIBA MWILINI : Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula u...
21/07/2019

FAIDA YA MATUNDA NA TIBA MWILINI : Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua k**a ukila vyakula vyote muhimu vinavyohitajika mwilini. Leo nitakutajia orodha ya juisi zilizotengenezwa kwa matunda na mboga na fadia zake mwilini. Katika orodha hii, utaona kuna mchanganyiko wa matunda au mboga mbili hadi nne na kazi zake mwilini, zikitumika k**a tiba au kinga ya magonjwa. [ 423 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/faida-ya-matunda-na-tiba-mwilini/

FAIDA YA MATUNDA NA TIBA MWILINI : Katika ulimwengu wa vyakula, inafahamika na kuaminika kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho

MILK HYGIENE IS IMPORTANT FOR OUR HEALTH : Milk is one of the few products with a no-recall chance once it is sold. It i...
21/07/2019

MILK HYGIENE IS IMPORTANT FOR OUR HEALTH : Milk is one of the few products with a no-recall chance once it is sold. It is highly perishable and has a short shelf-life. The tests taken on samples of milk require a few days before results are available. By this time the milk has already been sold and consumed. Therefore it is only by taking preventive measures within dairies that we can ensure the safety of our milk. [ 487 more words ]
http://farmersmarket.co.tz/milk-hygiene-important-health/

MILK HYGIENE IS IMPORTANT FOR OUR HEALTH : Milk is one of the few products with a no-recall chance once it is sold. It is highly perishable and has a short

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FarmersMarket_Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FarmersMarket_Tz:

Share

Nearby pet stores & pet services